Tuwatambue Wanamuziki wanaofanya muziki kwa hasara

Vee money hapigi show za Mbuzi mzeee...yani akipigaa show mojaaa juaa ni show 10 ambazo angefanya bongo malipo yakee..
 
hizo ndo fact sio watu wanakuja kupiga porojo tuu!! hapa!!
 
Kwa nyongeza yake juzi tu alikuwa Zanzibar kwa show
 
Uzi unasema 'tuwatambue wasanii' nikatarajia utakuwa umeorodhesha wasanii kadhaa wanaofanya muziki wa hasara cha ajabu list imeishia kwa huyo mmoja, hii inaonesha una something personal naye
 
namwona wizkid davido na chibu na wasanii wengine wakubwa.....
 

mkuu umemuua vibaya mno!!

This is crueliest yet best action for the stupid ones
 
Kwa nyongeza yake juzi tu alikuwa Zanzibar kwa show

Pia wiki 2 zilizopita alikuwa kwenye shoe Nairobi

Kwenye list yako nilitegemea uwataje Chege, Mwana Fa , Joh Makini yaani watoa video nzuriii za nje ya nchi lakini sioni impact kwao
 
Mkuu umeongea vzr ila kwa mafumbo naomba utoe ufafanuzi vzr kazi anayofanya huyu Jux kama anauza ngada tuambie tu kaka acha uoga
 
Yeye anasema anasoma huko china.
 
Acha umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…