Umetoa ufafanuzi mzuri sana ila nahisi atakuwa kwy mtandao wa mtu mzito tunaomba kumjua ili tuwe makini nae kwa faida ya watanzania wote na pia mbona hakamatwi na vyombo vya dolaswadaktaaa.... ngada....
miaka yote aliyokaa china yy ndo alikuwa main dealer and suplier wa ngada yote inayotoka TZ kuingia MACAU na GUANGZHOU
na hata yule mrembo aliyekuwa demu wake kabla ya V yaani jack clif ambaye anatumikia kifungo huko guangzhou ule mzigo aliodakwa nao mchizi anahusika 100%
kwa waliobahatika kuwa naye karibu wataelewa haya... they guy is living large pushing expensive rides like range rover sport and mercedece C class kwa mziki gani anaofanya ...kwa leo niishie hapa