Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sipendi anavyokaa uchi tu yaani mapaja na matiti yake yaliyolala ni "mali ya umma"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sipendi anavyokaa uchi tu yaani mapaja na matiti yake yaliyolala ni "mali ya umma"
Mkuu umempenda nani?Nmekupenda buree[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli angesema tumatambue msani na sio wasaniUzi unasema 'tuwatambue wasanii' nikatarajia utakuwa umeorodhesha wasanii kadhaa wanaofanya muziki wa hasara cha ajabu list imeishia kwa huyo mmoja, hii inaonesha una something personal naye
Hahahaha uuuuwiiiiii mbavu zangu jomoni[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15]Sasa huyu mtoa mada akiulizwa msanii gani mwenye mafanikio atataja nandy. Ndio tatizo la kuangalia clouds tv all the time.
swadaktaaa.... ngada....
miaka yote aliyokaa china yy ndo alikuwa main dealer and suplier wa ngada yote inayotoka TZ kuingia MACAU na GUANGZHOU
na hata yule mrembo aliyekuwa demu wake kabla ya V yaani jack clif ambaye anatumikia kifungo huko guangzhou ule mzigo aliodakwa nao mchizi anahusika 100%
kwa waliobahatika kuwa naye karibu wataelewa haya... they guy is living large pushing expensive rides like range rover sport and mercedece C class kwa mziki gani anaofanya ...kwa leo niishie hapa
Asante kwa hayo sio machache ni mengi mno inaonekana we unaujua huo mtandao zaidi unaweza kulisaidia jeshi la police!? [emoji23][emoji23][emoji23]swadaktaaa.... ngada....
miaka yote aliyokaa china yy ndo alikuwa main dealer and suplier wa ngada yote inayotoka TZ kuingia MACAU na GUANGZHOU
na hata yule mrembo aliyekuwa demu wake kabla ya V yaani jack clif ambaye anatumikia kifungo huko guangzhou ule mzigo aliodakwa nao mchizi anahusika 100%
kwa waliobahatika kuwa naye karibu wataelewa haya... they guy is living large pushing expensive rides like range rover sport and mercedece C class kwa mziki gani anaofanya ...kwa leo niishie hapa
Hata mm ndo navojuaYeye anasema anasoma huko china.
Ninakuelewa sana kijanani kweli alikuwa anasoma pia... na alisha graduate last year...
kwa mtu yoyote anayefanya illegal activity na lazima awe na cover up activity kwa wakati husiku na eneo husika
nilijaribu tu kuongea hayo cos i know the guy personally.... na watu wengi wanahisi eti V ndo anamuhonga mchizi nikataka wamjue tu mchizi angalau kidogo na waache kumchukulia poa....
alikuwaga ni mtu wa show off yani akinunua gari mpya lazima apost na hadi kuna kipindi yy na patner wako walikuwa wakipost bundle za cash wakiwa bank ...na kama unakumbuka aliwahi pia kupost ile gorofa anayojenga
ila baada ya V kukamatwa na kuhojiwa na jamaa kufahamu kuwa V alikamatwa ili amchome yy since mtt wa kike ni mdhaifu jamaa siku hizi ameacha showoff
bwana mdogo now anamiliki a brand new range rover sport model of 2016 na anakaa apartment ya USD 1200 per month na soon anahamia kwenye ileeee gorofa aliyopostiki
narudia tena kwa mziki gani anaofanya..
nina wasi wasi nawe ni moja kati ya hao drug dealers...ngoja nianze kukutrace (undercover) kupitia hii jamiiforums!hahahah.... hata kwa dawa gani hawawezi kuhitaji msaada wangu wale jamaa ....
kuna sababu inayonifanya niamini hivyo hahah
Hivi ndivyo ninavyowapenda wabongo, katika maswala ya kuchambua mambo ya watu wapo vizuri kweli kweli..
Wimbo upi kakopi mkuu? Nitumie nisikilizeHata wewe mwenyewe jiulize V ana muziki gani? Albam yake yote ni nyimbo za kukopi na kupaste tu, hakuna wimbo hata mmoja wenye asili ya Bongo. Afro Beat si muziki wetu, yeye V na wasanii kibao wasiojitambua wanaiga hivyo, inaboa kishenzi.....mijizi tu ya kuiba beats za watu.
Wimbo upi kakopi mkuu? Nitumie nisikilize
😀😀😀😀😀😀😀😀Kanunue upate hasara kama mimi.
Hatokujibu hilo swali, watu wenye majungu ndio khariba yao. Akikujibu kindakindaki hilo swali utanitag. kwa kifupi huyo hajanunua album. Ataje jina la nyimbo ambayo cacopy mimi nitamuumbua kwa maana album ninayo.Wimbo upi kakopi mkuu? Nitumie nisikilize
Kanunue upate hasara kama mimi.
Hicho ndicho alicho jibu, na kutokomea kusiko julikana mkuu.Hatokujibu hilo swali, watu wenye majungu ndio khariba yao. Akikujibu kindakindaki hilo swali utanitag. kwa kifupi huyo hajanunua album. Ataje jina la nyimbo ambayo cacopy mimi nitamuumbua kwa maana album ninayo.
HII LIST SIMUONI BABU WA KARIAKOO AU NAE LEVEL ZAKE NI FIESTA???AU NAE ANAFANYA KWA HASARA NINI???