Tuwatambue Wanamuziki wanaofanya muziki kwa hasara

Uzi unasema 'tuwatambue wasanii' nikatarajia utakuwa umeorodhesha wasanii kadhaa wanaofanya muziki wa hasara cha ajabu list imeishia kwa huyo mmoja, hii inaonesha una something personal naye
Kweli angesema tumatambue msani na sio wasani
 
Sasa huyu mtoa mada akiulizwa msanii gani mwenye mafanikio atataja nandy. Ndio tatizo la kuangalia clouds tv all the time.
Hahahaha uuuuwiiiiii mbavu zangu jomoni[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji15]
 

Hizo Range Rover anaziendeesha kwenye hii hii Dar ndogo yenye kilomita za mda na 200 , mbona haijawahi kumuona.. Fafanua mkuu
 
Asante kwa hayo sio machache ni mengi mno inaonekana we unaujua huo mtandao zaidi unaweza kulisaidia jeshi la police!? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninakuelewa sana kijana
 
hahahah.... hata kwa dawa gani hawawezi kuhitaji msaada wangu wale jamaa ....

kuna sababu inayonifanya niamini hivyo hahah
nina wasi wasi nawe ni moja kati ya hao drug dealers...ngoja nianze kukutrace (undercover) kupitia hii jamiiforums!

Kama unajua undani wa huyu mtu kiasi hichi maana yake nawe upo kwenye jora moja...huwa mnakutana uchawini nyote, cjui mmekosana nini tu ndo maana ukaamua umuanike mwenzako humu mtandaoni.

Take care kijana!
 
Hivi ndivyo ninavyowapenda wabongo, katika maswala ya kuchambua mambo ya watu wapo vizuri kweli kweli..


Hata wewe mwenyewe jiulize V ana muziki gani? Albam yake yote ni nyimbo za kukopi na kupaste tu, hakuna wimbo hata mmoja wenye asili ya Bongo. Afro Beat si muziki wetu, yeye V na wasanii kibao wasiojitambua wanaiga hivyo, inaboa kishenzi.....mijizi tu ya kuiba beats za watu.
 
Wimbo upi kakopi mkuu? Nitumie nisikilize
 
Wimbo upi kakopi mkuu? Nitumie nisikilize
Hatokujibu hilo swali, watu wenye majungu ndio khariba yao. Akikujibu kindakindaki hilo swali utanitag. kwa kifupi huyo hajanunua album. Ataje jina la nyimbo ambayo cacopy mimi nitamuumbua kwa maana album ninayo.
 
Kanunue upate hasara kama mimi.
Hatokujibu hilo swali, watu wenye majungu ndio khariba yao. Akikujibu kindakindaki hilo swali utanitag. kwa kifupi huyo hajanunua album. Ataje jina la nyimbo ambayo cacopy mimi nitamuumbua kwa maana album ninayo.
Hicho ndicho alicho jibu, na kutokomea kusiko julikana mkuu.
 
Chuki binafsi hazijawahi kumwacha mtu salama............. hongera kwa kumwona yeye anafanya mzk kwa hasara...... wewe unafanya nini kwa faida? Subalaheri ndio umeona na ile ya Escape kweli exposure muhimu. pole sana
 
HII LIST SIMUONI BABU WA KARIAKOO AU NAE LEVEL ZAKE NI FIESTA???AU NAE ANAFANYA KWA HASARA NINI???

Babu wa kariakoo alishafanya mwaka jana.. Na za fiesta pia alifanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…