Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga

Enzi za yule shetani aliyetwaliwa kuzimu ni zaidi ya ujasiri.

Alijulikana kwa ukatili wake. Akijinasibu: "kwenye maandamano viongozi na watoto wao wawe mbere!"

Apumzike kwa amani Aquilina Aquiline.
 
Lisu mwemyewe ni mwoga kama kunguru!

We mtu unakimbiliaje ubelgiji kisa kitisho cha kwenye simu?
Unge kaa kimya ungeonekana mwenye busara ,kwani nani hajui kilichompata Lisu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…