Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kumsaidia muafrika ni ngumu sana kuwa wewe ni mjinga.
Kwenye kipindi cha madini dotcom cha mtangazi East africa redio sikosei.
Kuna makala aliweka kuhusu congo kutawaliwa na mtu ambaye hakufika congo mpaka anakufa ila aliwatesa sana kwa kutumia waafrika wenzake.
Hapa JF kuna wakurupukaji sana,Kama kuna mtu anakwambia Bitcoin ni utapeli ila kumuuliza ushafika dubai kuona maduka yanatumia sarafu za digital zilizo sahihi alicho nijibu yeye ana usd milioni 1. Sasa Usd milioni japo anadanganya nayo sio sarafu hiyo ni thamani ya pesa.
Unaposema Forex ni utapeli je ushawahi kuishi mipakani au kufanya biashara steji ya kununua nje au kuuza nje.
Wengi wanatapeliwa kuto kuelewa mifumo ya uchumi,elimu za pesa,siasa,vita mfano mafuta tu .
Forex hata ukifanya mtindo wa kucheza na pesa ulizo nazo mfano unapesa za tajiri wa katoro Usd umesikia Usd imepanda si utaenda kuuza.
Forex inafanya gold unajua thamani yake ndio maana dotto magari anaumia sana.
Kutokana na elimu kutokuwepo matapeli wameingia njia hii hata kuwaunganisha kwenye soko bila kuelewa elimu.
Haya leo Usd to TZS ni shingapi