Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Mkipanga maandamano yasiyo ya amani watu wanakosa amaniMimi siwezi poteza muda kuombea amani wakati muondoa amani yupo ikulu,huyo ndo aombee amanHatujamalizana naye,asijidanganye
Samia muuaji
Huu ndio uzi bora mwezi huu.View attachment 3513801
My people,
Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji
Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo namba moja wa Taifa hili utake usitake.
Tanzania haijawahi kukosa amani kwa kipindi kirefu sana,hivyo hutukujua neema ya amani mpaka pale tulipo ipoteza 29 Oct 2025, baada ya kukaa nyumbani kwa siku kadhaa tulionja amani ina faida gani,laiti ile lock down ingedumu kwa wiki moja zaidi hali ingekuwa mbaya sana
Tukubali ukweli kwamba huwezi kuangusha Serikali kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu,ni mtu asiye tafakari na kuwazua mambo anaweza kuamini hayo
Kitendo cha 9 December watu kutoandamana si kwakuwa ulinzi ulikuwa mkali ila kwasababu wengi wetu tulishaona umuhimu wa amani,hivyo hatukuwa tayar kuumwa mara mbili katika shimo moja,hivyo ndivyo watu werevu wanavyokuwa
Mwisho,guys tuna nchi moja tu na ardhi moja nayo ni Tanzania,tusihadaike na hawa wanaharakati ambao huenda wana nia nzuri lakini njia wanayotumia kuliendea jambo sio sahihi
Wengi wao wapo nje ya Tanzania wana hifadhi za kisiasa,je wewe kikinuka hapa utakwenda kupata hifadhi wapi?
Umeshaiwazia familia yako na ndugu zako?
Amani ni jambo la msingi sana hivyo tusiipoteze,tujifunze kutoka nchi nyingine jinsi wanavvyoitafuta amani,amani ndio uhai na tunu ya taifa hili
Hakuna amani hakuna Tanzania
Binafsi nitakuwa balozi wa amani mpaka tar 31 Dec nikipost mantra ya :
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Mungu inabariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu!
Amani haipo,nishakuambia huo uchawa wako uko ukingoni, na kwa taarifa yako Samia hatoboi 2026 ,huo ndo ukomo wake wa kuitawala Tanganyika.Mkipanga maandamano yasiyo ya amani watu wanakosa amani
Mkitulia amani inarudi kwa watu so hapo nani anaondoa amani ya watu unavyoona?
Hakuna amani katikati ya ulaghai kwenye chaguzi, utekaji na mauaji, ufisadi na nepotismMkipanga maandamano yasiyo ya amani watu wanakosa amani
Mkitulia amani inarudi kwa watu so hapo nani anaondoa amani ya watu unavyoona?
Hata tarehe 29 ulinzi mkali ulikuwepo lakini mlitoka na yote kwa kuwa hamkujua mtaenda kukutana na nguvu ipi? Nyie mlikariri itakuwa kama Kenya tu watatumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha ndo maana mkapaka dawa za meno machoniSamuya anaongoza nchi kwa mtutu wa bunduki, % kubwa ya wananchi hawamtaki!.
Bila ulinzi mkali jana maandamano yangeweka historia kwa wingi wa watu tz!.
Kama hamuwapi mda wa kuwajibika watawajibika vipi sasa??Hakuna amani katikati ya ulaghai kwenye chaguzi, utekaji na mauaji, ufisadi na nepotism
serikali iwajibike kutoa haki, amani automatic itakuwapo
Mungu akipanga atoboe atatoboa tu though mi sio fan wakeAmani haipo,nishakuambia huo uchawa wako uko ukingoni, na kwa taarifa yako Samia hatoboi 2026 ,huo ndo ukomo wake wa kuitawala Tanganyika.
Kaa una jiandaa kisaikolojia ,utajua kufa kiholo
Yaani tuwape muda wa kuacha kuteka na kuuwa holela, tuwape muda wa kuacha kuiba kura na kuhujumu uchaguzi, tuwape muda wa kuacha ufisadi na upendeleo.Kama hamuwapi mda wa kuwajibika watawajibika vipi sasa??
So haki haina umuhimu? Kama hakuna haki hiyo hamani ni ya upande mmojaView attachment 3513801
My people,
Si kila anayetaka amani kwasasa hajaumizwa na yale yaliyotokea 29 Oct na yanayoendelea sasa hivi ikiwemo utekaji
Natambua kwa baadhi yenu mnaweza kumuona kila mtaka amani na mpinga harakati za fujo ni adui wa Taifa hili,ukweli ni kwamba kila mpenda amani na mpingaji fujo ni mzalendo namba moja wa Taifa hili utake usitake.
Tanzania haijawahi kukosa amani kwa kipindi kirefu sana,hivyo hutukujua neema ya amani mpaka pale tulipo ipoteza 29 Oct 2025, baada ya kukaa nyumbani kwa siku kadhaa tulionja amani ina faida gani,laiti ile lock down ingedumu kwa wiki moja zaidi hali ingekuwa mbaya sana
Tukubali ukweli kwamba huwezi kuangusha Serikali kwa maandamano yasiyo na kichwa wala miguu,ni mtu asiye tafakari na kuwazua mambo anaweza kuamini hayo
Kitendo cha 9 December watu kutoandamana si kwakuwa ulinzi ulikuwa mkali ila kwasababu wengi wetu tulishaona umuhimu wa amani,hivyo hatukuwa tayar kuumwa mara mbili katika shimo moja,hivyo ndivyo watu werevu wanavyokuwa
Mwisho,guys tuna nchi moja tu na ardhi moja nayo ni Tanzania,tusihadaike na hawa wanaharakati ambao huenda wana nia nzuri lakini njia wanayotumia kuliendea jambo sio sahihi
Wengi wao wapo nje ya Tanzania wana hifadhi za kisiasa,je wewe kikinuka hapa utakwenda kupata hifadhi wapi?
Umeshaiwazia familia yako na ndugu zako?
Amani ni jambo la msingi sana hivyo tusiipoteze,tujifunze kutoka nchi nyingine jinsi wanavvyoitafuta amani,amani ndio uhai na tunu ya taifa hili
Hakuna amani hakuna Tanzania
Binafsi nitakuwa balozi wa amani mpaka tar 31 Dec nikipost mantra ya :
Mwananchi kuilinda Tanzania ni jukumu lako
epuka kuichoma nchi yako
Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania
Ni hayo tu!
Wewe si ndo ulinifuata na kunitisha eti utaniua kwa kuhamasisha maandamanoMungu akipanga atoboe atatoboa tu though mi sio fan wake
Pia asipotoboa sawa tu kwa sababu sifaidiki na chochote directly kutoka kwake
Hatupingi kufichua maovu,tufichue lakini huku tukitafuta namna bora ya kuyaendea mamboHizi propaganda za kuwa na amani tukificha maovu ni ujinga
Muda ni mwalimu mzuri sanaAmani haipo,nishakuambia huo uchawa wako uko ukingoni, na kwa taarifa yako Samia hatoboi 2026 ,huo ndo ukomo wake wa kuitawala Tanganyika.
Kaa una jiandaa kisaikolojia ,utajua kufa kiholo
Active Boqin Refiner celix ReviserWewe si ndo ulinifuata na kunitisha eti utaniua kwa kuhamasisha maandamano