PostGE2025 Tuwe Mabalozi Wa Amani Hatutaki Kuwa Wakimbizi Wa Nchi Yetu Wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nao wenye nafasi ya kuyaona haya yanafanyika kwa manufaa ya amani ya taifa hili wafanye linalopaswa na sii kufanya kwa ajili ya amani yao pekee.
 
Umehaha,ujue sitapigwa ban Wala nini ila punguza kutishia kuua watu kisa maandamano
 
💪💪💪💪
 
Maandamano ni vurugu ??

NChi inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria sio mihemko ya viongozi.

Maandamo ni kosa kikatiba au kisheria ??
 
Nao wenye nafasi ya kuyaona haya yanafanyika kwa manufaa ya amani ya taifa hili wafanye linalopaswa na sii kufanya kwa ajili ya amani yao pekee.
Ni sahihi kabisa,binafsi naamini kabisa hao ambao wako huko jikoni ndio wana nafasi kubwa sana kuhamasisha mabadiliko
 
Maandamano ni vurugu ??

NChi inaongozwa Kwa mujibu wa katiba na Sheria sio mihemko ya viongozi.

Maandamo ni kosa kikatiba au kisheria ??
Sio kosa,lkn je muongozo unasemaje?

Omba kibari, mseme nini kero yenu,mtapitia njia gani na mnataka kuonana na nani?

Je mmefuata huo utaratibu?
 
Mnapohubiri amani msiwe wanafiki kwa kupalilia maslahi yenu huko mnakopata ulaji. Wanaharakati si mashetani, hawa wame take loop kujaza ombwe lililo wazi kwa siasa za upinzani kufanya siasa zake. Vyama vya upinzani kama chadema vingekuwa vinafanya siasa zao hao wanaharakati wangepata wapi nafasi ya kufanya harakati zao kisiasa? Wangekuwa labda ni wanaharakati wa masuala ya mazingira, wanyama, wazee, vijana, wanawake na watoto, hizo ni siasa laini si hatari sana. Mkafanya yenu mkijua mmevimaliza vyama vya upinzani kumbe mmeunda jinamizi hatari sana linalowanyima usingizi hamlali linawasumbua usiku na mchana. Kama kungekuwa na siasa safi za kuachiana madaraka kwa sanduku la kura na mshindi anakuwa kiongozi wa wananchi waliomchagua, hii si ndiyo ingekuwa amani ya kweli kuwepo nchini? Amani inakujaje? Ni kwa kuheshimu matakwa ya wananchi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Je unataka usije unaona thread za huyu Jamaa nenda juu kwenye vidot v3 muignore
 
..linda amani kwa kukataa kuteka, kutesa, na kuuwa, Watanzania wenzako.
 
Fala
 
\MNATIA KINYAA SANA humu ,unaongekea amani IPI ? Ninyi kvma mnaishi Tanzania hii tunayoishi sisi au mnaishi Tanzania ya Mars ?
 
Amani ya vibaka wa ccm kuharibu uchaguzi ,kuua upinzani ,kuabuse madaraka kwa kufanya ufisadi ,kuua raia na wakosoaji ,kubaka ,kuteka na kutesa ,kubambikizia kesi wapinzani na wakosoaji ? .........Ninyi mnaoongelea Amani mngeuawa au ndugu zenu kupatwa na madhila msingeandika huu upumbavu humu Amani isiyotoa haki .......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…