PostGE2025 Tuwe Mabalozi Wa Amani Hatutaki Kuwa Wakimbizi Wa Nchi Yetu Wenyewe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hatupingi kufichua maovu,tufichue lakini huku tukitafuta namna bora ya kuyaendea mambo
Tuipe muda serikali wanasema usiku wa deni haukawii, Serikali ina deni la kuwapa watanzania katiba

Tujipe muda
Serikali yenyewe haikushinda kihalali.
 
Mnaingia humuu Jamiiforums kuandika huu mtandao uliofungwa na kupigwa marufuku na serikali haramu ya ccm , hamjui mnavunja sheria na kuharibu amani ?

HUU UNAFIKI WAKO UNATIA KINYAA , KITENDO CHA WEWE KUTUMIA VPN KUINGIA JAMII FORUM KWENYE PLATFORM ILIYOFUNGIWA KWA TUHUMA ZA UCHOCHEZI NA KUHATARISHA AMANI FAKE YA HAO WATAWALA HARAMU WA CCM UNAOWATETEA HUMU KINAONYESHA JINSI ULIVYO NA AKILI DUNI
 
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania

Haya mambo ya kuilinda Amani ni kichaka cha kutuibia RASIMALI zetu na kuwalinda mafisadi...na ubadhirifu kuongezeka Kila mwezi TZS 15 Billion kazi maalumu...safari hii kwa Hasira walizonazo itakuwa TZS 30 Bilioni

Wewe unahubiriwa Amani Maisha kwako magumu, huyo anayekwambia ulinde Amani Maisha kwake mazuri anaendesha G-Wagon na Binti yake anatulingishia $ 300k mitandaoni

Wanatuona mazombi sana Hawa watawala
 
Kuna kila namna na kila hali kutamka kwamba CCM sio political party, CCM ni terrorist organization, dunia kianzia sasa inatakiwa iiwekwe kwenye list ya terrorist organization.
 
Bullshit! Amani haijizai. Amani ni tunda la haki. Kila siku mnaimba amani amani as if amani inajizaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…