haya ni mawazo yangu. Nchi ambazo hazina demokrasia na wananchi wake wamekata tamaa kwamba hawawezi kuchagua mtu wampendao kuwakilisha mambo yao kuna hivi vinatokea
Ni bora sana kuwa na demokrasia kuliko uhasi maana hawa jamaa kila siku wanavizia madaka ukijisahau tu umepinduliwa na mazuri yote yanaweza kupotea. Ubaya wa udikteta ni kwamba ukipata mbaya haondoki mpaka atolewe kama Mabutu na Mugabe
- Nchi za hivyo zinageuka kuwa na wahasi badala ya vyama. Mfano Rwanda kuna wahasi, Uganda kuna wahasi na nchi zote ambazo hazina demokrasia zinakuwa na wahasi
- Uhasi ndani ya nchi ukishindikana watu wanafanya uhasi nje ya nchi hata China na Urusi zina wahasi nje ya nchi