britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Issue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na Visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea.
Kuna haja ya kufanyika ustaarabu ili angalau kupunguziana kudharirika.
Nyakati zinabadilika, lazima pia ifanyike namna mifumo ibadilike.
Nikionacho mimi, huko tuendapo msijeshangaa Serikali ya tatu ikarudishwa lakini ikawa na hadhi ya Teritory tu huku wananchi wake wakiruhusuwa kuteuliwa na kugombea nafasi za Jamhuri lakini ikawekwa sheria ya kutoruhusu wananchi hao kushiriki kupuga kura ya kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Huku wale walio chini ya serikali nyingine ndiyo wakiwa na mamlaka hayo ya kupiga kura kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Mtu anaweza kuona haiwezekani, lakini kama tuna aina hii ya Jamhuri kwanini hili lingine lisiwezekane?
Nawaza maana waheshimiwa nakutana nao sana na ndo wanawapa kina Manara waseme nini
Maandiko yangu yazingatiwe yaweza fufuliwa thread hii mwaka hata 2050
Nitaweka video ya hawa vilaza later
Britanicca
"plus all Christians" hili ndio tatizo lako.tatizo kubwa tanzagiza ni uchumi mdogo sana na >50% ya huo uchumi mdogo unaibiwa pia hivyo kinachobakia kiduuuchu sana ambacho tunakigombania ni keki ni ndogo sana ndiyo maana vitu vidogo vinaonekana vikuubwa, kwa mfano kama tunge-fix chumi za mikoa yetu na kuzalisha ajira (boda boda na fremu siyo ajira) hakuna mtu hata angepoteza usingizi na zanzibar lkn kwa kuwa kila kitu hakitoshi basi kila mtu anaona ananyonywa na zanzibar.
tatizo liko bara, kama tukifix uchumi wa bara amini nawaambieni zanzibar tutaiona kama sehemu kwenda likizo tu kula bata labda kama hata ni muhimu lkn siyo kugombania sijui kutibiwa huko, kwanza hali ya hewa zanzibar ni mbaya kuna kuna joto la kufukuta na humidity >85% nani atataka kuishi huko?
embu angalia tu hali ya hewa mikoani kwetu ni mild temparate climate beautiful kuna milima na mabonde hakuna high humidity kama pwani hautoki majasho hovyo, tuna beautiful mt kilimanjaro, meru, kusini tuna mt rungwe beautiful environment tuna maeneo perfect rift valley imepita kwetu imekata karibia nusu ya nchi yetu na hii ni one of the most fertile in afrika, sasa tunatafuta nini zanzibar?
ukienda kwenye maziwa yetu kama viktoria, nyasa au tanganyika maji ya kutosha beach nzuri plus all Chrstians …
Elezea kidg hapa ndugu mwanafunzi sijaelewa hapa undugu wa damu kvpHivi wakikaa wakashauriana Rais wa Zanzibar na huyu mwingine (kumbuka pia wana udugu wa damu
min -me anasema Ibara inasoumd kama utapeli fulani hiviiiiIbara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema
"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."
Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania.
Labda nikuulize: enzi na vipindi vyote vya nyuma, hali ikiwa tulivu kabla ya jambo hili la uTanganyika na Uzanzibari halijakolea na kupamba moto, uchumi wetu ulikuwa safi kabisa, si ndiyo?tatizo kubwa tanzagiza ni uchumi mdogo sana na >50% ya huo uchumi mdogo unaibiwa pia, hivyo kinachobakia ni kiduuuchu sana ambacho tunakigombania, keki ni ndogo sana ndiyo maana vitu vidogo vinaonekana vikuubwa, kwa mfano kama tunge-fix chumi za mikoa yetu na kuzalisha ajira (boda boda na fremu siyo ajira) hakuna mtu hata angepoteza usingizi na zanzibar lkn kwa kuwa kila kitu hakitoshi basi kila mtu anaona ananyonywa na zanzibar.
tatizo liko bara, kama tukifix uchumi wa bara amini nawaambieni zanzibar tutaiona kama sehemu kwenda likizo tu kula bata labda kama hata ni muhimu lkn siyo kugombania sijui kutibiwa huko, kwanza hali ya hewa zanzibar ni mbaya kuna kuna joto la kufukuta na humidity >85% nani atataka kuishi huko?
embu angalia tu hali ya hewa mikoani kwetu ni mild temparate climate beautiful kuna milima na mabonde hakuna high humidity kama pwani hautoki majasho hovyo, tuna beautiful mt kilimanjaro, meru, kusini tuna mt rungwe beautiful environment tuna maeneo perfect rift valley imepita kwetu imekata karibia nusu ya nchi yetu na hii ni one of the most fertile in afrika, sasa tunatafuta nini zanzibar?
ukienda kwenye maziwa yetu kama viktoria, nyasa au tanganyika maji ya kutosha beach nzuri plus all Chrstians …
Upo sahihi bwashee!Ukisikisika mmatumbi kasema ibara jua ni ujambazi tu bwashee , hakuna cha ibara labda kwa wajinga
Tanganyika wewe ya nini,ukishakuwa na Tanganyika unapata nini ambacho hukipati sasa,unabadilika nini!?Hakuna kiongozi wa ccm hapa Tanganyika anayeipenda Tanganyika. Wote ni wanafiki na hakuna mwenye uthubutu wa kusimama na kuisemea nchi ya Tanganyika kama wanavyofanya wale wa Zanzibar. Sijui wanaona aibu au ni kitu gani. Wanashangaza sana
Unakuta Ibara ya kwanza inasema: "Kila raia ana haki ya kufanya jambo kadhaa..." (hapo unafurahi). Lakini ukisoma kifungu kidogo cha chini yake kinasema: "Isipokuwa pale ambapo sheria nyingine itasema vinginevyo..."—hapo hapo haki yako imeshachukuliwa!Akisikika mmatumbi kasema ibara jua ni ujambazi tu bwashee , hakuna cha ibara labda kwa wajinga
Kwa nini sio mlevi bwashee 😜Unakuta Ibara ya kwanza inasema: "Kila raia ana haki ya kufanya jambo kadhaa..." (hapo unafurahi). Lakini ukisoma kifungu kidogo cha chini yake kinasema: "Isipokuwa pale ambapo sheria nyingine itasema vinginevyo..."—hapo hapo haki yako imeshachukuliwa!
Wewe siyo mlevi
You are super smart bwasheeKwa nini sio mlevi bwashee 😜
Huyo mwehu leo katumia asilimia zote za ubongo wake kujitutumua..Labda nikuulize: enzi na vipindi vyote vya nyuma, hali ikiwa tulivu kabla ya jambo hili la uTanganyika na Uzanzibari halijakolea na kupamba moto, uchumi wetu ulikuwa safi kabisa, si ndiyo?