M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Wazenji wako vizuri kwenye kutuburuza, hapo wanapiga mashuti wakiwahadaa machogo wakati wao ndiyo wanaofaidika na muungano huku machogo wakiendelea kunyonywa, kubagazwa na sasa wanauawa kama nzige lakini bado wanaufyata kisa tu kuna kina Makonda, Riziwani, Mwigulu na mabazazi wenzao ambao wanaofaidika na kunufaika na huu muungano batili.
Siku muungano utakapovunjika Tanganyika itakuwa imepata uhuru upya kutoka katika makucha ya mabazazi wa Kizenji wakiongozwa na muuaji na mnyonya damu za Watanganyika Samia Suluhu Hassan.