Dah 2050 ni parefu. Kina adriz Al-mukheef Jagina ina Malaria 2 Dogo The Icebreaker sijdah zao zitakuwa zimeshaoza makaburini wakisubiria kwa hamu bila matumaini kubadilika na kuwa miarabu.Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea.
Kuna haja ya kufanyika ustaarabu ili angalau kupunguziana kudharirika.
Nyakati zinabadilika, lazima pia ifanyike namna mifumo ibadilike.
Nikionacho mimi, huko tuendapo msijeshangaa Serikali ya tatu ikarudishwa lakini ikawa na hadhi ya Teritory tu huku wananchi wake wakiruhusuwa kuteuliwa na kugombea nafasi za Jamhuri lakini ikawekwa sheria ya kutoruhusu wananchi hao kushiriki kupuga kura ya kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Huku wale walio chini ya serikali nyingine ndiyo wakiwa na mamlaka hayo ya kupiga kura kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Mtu anaweza kuona haiwezekani, lakini kama tuna aina hii ya Jamhuri kwanini hili lingine lisiwezekane?
Nawaza maana waheshimiwa nakutana nao sana na ndo wanawapa kina Manara waseme nini
Maandiko yangu yazingatiwe yaweza fufuliwa thread hii mwaka hata 2050
Nitaweka video ya hawa vilaza later
Britanicca
Jikite kwenye mada husika kijanaDah 2050 ni parefu. Kina adriz Al-mukheef @jakina Malaria 2 Dogo The Icebreaker sijdah zao zitakuwa zimeshaoza makaburini wakisubiria kwa hamu bila matumaini kubadilika na kuwa miarabu.
Hoja yako ni ipi hasa.Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea.
Kuna haja ya kufanyika ustaarabu ili angalau kupunguziana kudharirika.
Nyakati zinabadilika, lazima pia ifanyike namna mifumo ibadilike.
Nikionacho mimi, huko tuendapo msijeshangaa Serikali ya tatu ikarudishwa lakini ikawa na hadhi ya Teritory tu huku wananchi wake wakiruhusuwa kuteuliwa na kugombea nafasi za Jamhuri lakini ikawekwa sheria ya kutoruhusu wananchi hao kushiriki kupuga kura ya kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Huku wale walio chini ya serikali nyingine ndiyo wakiwa na mamlaka hayo ya kupiga kura kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Mtu anaweza kuona haiwezekani, lakini kama tuna aina hii ya Jamhuri kwanini hili lingine lisiwezekane?
Nawaza maana waheshimiwa nakutana nao sana na ndo wanawapa kina Manara waseme nini
Maandiko yangu yazingatiwe yaweza fufuliwa thread hii mwaka hata 2050
Nitaweka video ya hawa vilaza later
Britanicca
Samia hafiki 2030; kama nia yako ni kumpa muda wote huo!Siioni ccm Beyonde 2030 otherwise damu itamwagika mno.
Nimesoma mtiririko wa mawazo yako hadi nilipofikia hii mistari miwili nikajiuliza kama kuna tofauti yoyote na sasa kuhusu hao wakuu uliowataja!Kwa mfano, ili kulikamilisha hilo wakajiteulia Mkuu wa idara ya usalama Mzanzibar, Mkuu wa majeshi Mzanzibar, IGP Mzanzibar, Jaji Mkuu Mzanzibar na watu wengine muhimu wenye vinasaba na Zanzibar. Tutapinga?
I couldn't agree more!!"Ili Tanzania Ipone, ni lazima CCM ife"
Ukweli huu hamtaki kuukubali, lakini itawabidi tu, maana hakuna namna nyinyingine
Kwa nini hamtaki kuheshimu mawazo ya Hayati Mzee wetu Karume? Mawazo ya kuwa na serikali Moja nchi Moja? Wazanzibar walitaka serikali Moja kupitia kwa Hayati Karume, Watanganyika kupitia Hayati Mwalimu Nyerere wakakataa na maelezo haya ni kwa mujibu wa Mwalimu Nyerere mwenyewe.Nikionacho mimi, huko tuendapo msijeshangaa Serikali ya tatu ikarudishwa lakini ikawa na hadhi ya Teritory tu huku wananchi wake wakiruhusuwa kuteuliwa na kugombea nafasi za Jamhuri lakini ikawekwa sheria ya kutoruhusu wananchi hao kushiriki kupuga kura ya kuchagua viongozi wa Jamhuri.
Asante Una mwelekeo.... lakini bado. Serikali iwe moja nchi moja. Rais Mmoja, makamu mmoja Waziri Mkuu mmoja. Spika mmoja, Jaji Mkuu mmoja, Mwanasheria Mkuu mmoja, Jeshi moja, polisi Moja, Magereza moja nakadhalika na kadhalika moja. Ikiwa hivi kero zote za Muungano zitakwisha!Ujumbe wako hautafika 2050 ni hapo mwaka 2027 tutakapoanza kutafuta mchakato wa kuandika Katiba mpya ndio yataibuka maana CCM hawajawahi kuwa na akili wanaona wanarekebisha kumbe bado wanakosea. Nchi iwe na rais mmoja, makamu wawili mmoja Tanganyika na mwingine Zanzibar (nafasi ya urais wa zanzibar ifutwe) na Waziri mkuu mmoja tu au Rais mmoja (CinC & Head of State) na Waziri Mkuu wawili wawe (Head of Government) alafu kila nchi ibakie na serikali zake hawa mawaziri wakuu watafanya kazi kama Head of Government ambapo kiuhalisia bado itakuwa Serikali 3. Pia ianzishwe tume ya pamoja ya fedha, makubaliano ya Muungano yapitie na yaandikwe upya na yatakelezwe kikamilifu hatutaki raia wa Zanzibar kuajiriwa Tanganyika kama DC, RC, DAS wala RAS .
Kwa kifupi Zanzibar ifutwe!Asante Una mwelekeo.... lakini bado. Serikali iwe moja nchi moja. Rais Mmoja, makamu mmoja Waziri Mkuu mmoja. Spika mmoja, Jaji Mkuu mmoja, Mwanasheria Mkuu mmoja, Jeshi moja, polisi Moja, Magereza moja nakadhalika na kadhalika moja. Ikiwa hivi kero zote za Muungano zitakwisha!
Haifutwi... ndiyo maana tuna Tan-Zan-ia.Kwa kifupi Zanzibar ifutwe!
Muungano ukivunjika ni hasara zipi watanganyika watapata? Nielimishe tafadhali.Issue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na Visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.
Tujtayarishe kupokea wakimbizi kwa kuwa ikivunjika Tanzania basi na Zanzibar nayo haitakuwa na muda. Hakuna Unguja na Pemba nje ya Tanzania.Muungano ukivunjika ni hasara zipi watanganyika watapata? Nielimishe tafadhali.
Hoja yako ni ipi hasa.
Umetumia maneno meeengiii, lakini hoja haionekani.
Kwamba serikali ya Tanganyika iwepo ya maonyesho tu; ikiwa kivuli cha hiyo ya Tanzania; wakati serikali ya Zanzibar ikiendelea kuwa na hadhi kubwa hata kuizidi hiyo ya Tanzania?
Assumption yako (zenu) na hao wanaCCM wenzio ndiyo hiyo, mkidhani waTanzania wataendelea kuwavumilia milele.
Itakusaidia sana ukianza kujizoesha maisha bila ya CCM Tanzania.; kwsa maana hilo ndilo litakalofuata.
"Ili Tanzania Ipone, ni lazima CCM ife"
Ukweli huu hamtaki kuukubali, lakini itawabidi tu, maana hakuna namna nyingine.
Tanganyika wewe ya nini,ukishakuwa na Tanganyika unapata nini ambacho hukipati sasa,unabadilika nini!?
Acha kuwa jalala la agenda za wanasiasa
Nimekusoma na kukuelewa vizuri ulichoandika hapa, pamoja na kwamba sioni sababu ya kuendelea na kuinajisi Tanzania kwa kuogopa hayo matokeo unayoyaeleza wewe.Tujtayarishe kupokea wakimbizi kwa kuwa ikivunjika Tanzania basi na Zanzibar nayo haitakuwa na muda. Hakuna Unguja na Pemba nje ya Tanzania.
Chuki ya waPemba dhidi ya waUnguja ni kubwa kuliko ya Wazanzibari dhidi ya waTanganyika
Maana ya maneno haya ni kwamba kinachowaweka wazanzibari pamoja ni kuinajisi Tanganyika?Chuki ya waPemba dhidi ya waUnguja ni kubwa kuliko ya Wazanzibari dhidi ya waTanganyika