M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Wazenji wako vizuri kwenye kutuburuza, hapo wanapiga mashuti wakiwahadaa machogo wakati wao ndiyo wanaofaidika na muungano huku machogo wakiendelea kunyonywa, kubagazwa na sasa wanauawa kama nzige lakini bado wanaufyata kisa tu kuna kina Makonda, Riziwani, Mwigulu na mabazazi wenzao ambao wanaofaidika na kunufaika na huu muungano batili.
Mkuu tukikubali kuvunja huu muungano jua ni hatari sana kwetu. Kwa visiwani wao sawa tu kwani hawana cha kupoteza. Wao ni kama mwanamke mzuri anayegombaniwa na wanaume wengi. Ukimuacha leo kesho kahamia kwa jamaa na jamaa anajisemea hewallah hewallah. Sehemu ya maji ilipo Zanzibar ni potential sana kwa nchi za Magharibi na Mashariki. Wote wametoa macho yao hapo. Watu tunaamini kuwa tunaweza amka asubuhi tu na kusema tunavunja Muungano. Hata sisi wa bara na wavisiwani tukikubaliana kuvunja muungano hatuwezi. Kwanza hatutafika huko kwa mpaka tukubaliane na wao wanatucheki tu. Hii ngoma nzito sana. Jifunze historia ya vita baridi then husanisha na huu muungano utapata jibuIssue ya Muungano ni existential risk both kwa Bara na Visiwani. Zanzibar akiumwa mafua lazima Bara tupige chafya. Bara wakikubali muungano ufe, ni a very short sighted political move. Visiwani wakikubali, ni suicide kwao.
Ni kweli tupuMkuu tukikubali kuvunja huu muungano jua ni hatari sana kwetu. Kwa visiwani wao sawa tu kwani hawana cha kupoteza. Wao ni kama mwanamke mzuri anayegombaniwa na wanaume wengi. Ukimuacha leo kesho kahamia kwa jamaa na jamaa anajisemeha hewallah hewallah. Sehemu ya maji ilipo Zanzibar ni potential sana kwa nchi za Magharibi na Mashariki. Wote wametoa macho yao hapo. Watu tunaamini kuwa tunaweza amka asubuhi tu na kusema tunavunja Muungano. Hata sisi wa bara na wavisiwani tukikubaliana kuvunja muungano hatuwezi. Kwanza hatutafika huko kwa mpaka tukubaliane na wao wanatucheki tu. Hii ngoma nzito sana. Jifunze historia ya vita baridi then husanisha na huu muungano utapata jibu
Wote wabeba agenda za wanasiasa
Kama hofu ni kupokea wakimbizi, mbona tumeshapokea wakimbizi kutoka Burundi na Rwanda kwa maelfu nini kilienda mrama? Usije ukasema kuna gharama maana kuna UNHCR. Na pia siyo lazima waje huku, kuna Kenya pia ipo karibu au Seychelles.Tujtayarishe kupokea wakimbizi kwa kuwa ikivunjika Tanzania basi na Zanzibar nayo haitakuwa na muda. Hakuna Unguja na Pemba nje ya Tanzania.
Chuki ya waPemba dhidi ya waUnguja ni kubwa kuliko ya Wazanzibari dhidi ya waTanganyika
Tujtayarishe kupokea wakimbizi kwa kuwa ikivunjika Tanzania basi na Zanzibar nayo haitakuwa na muda. Hakuna Unguja na Pemba nje ya Tanzania.
Chuki ya waPemba dhidi ya waUnguja ni kubwa kuliko ya Wazanzibari dhidi ya waTanganyika