Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

Tuwe makini kwenye mbegu wakati wa uwekezaji wa Kilimo

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Kwa nchi ya USA mbegu zina hati miliki na kilimo cha hapa ni lazima ununue mbegu kila msimu. Mbegu hizi ambazo wamezitengeneza na kuhakikisha mazao hayawi na mbegu ili waweze kuuza mbegu. Nimesikia kuna uwekezaji mkubwa wa kilimo unakuja kutoka USA. Nashauri sana kwenye mikataba hii msikubali kabisa hawa wawekezaji kutumia mbegu zao kutoka USA. Wamiliki wa Mbegu wanafanya jitihada sana za kuhakikisha wanategemewa wenyewe kwenye mbegu zote Duniani


 
Back
Top Bottom