PreGE2025 Tuwe Makini! Mwaka Huu CCM tutazomewa sana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?πŸ’
Kuzomea ni ndugu wa kuchoma.
Hamcherewi kuwaua.
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?[emoji205]
Picha ina nguvu ndo maama kuna picha ya mtu ilichomea na mchoma picha akashitakiwa na kuhukumiwa badae akapotezwa
 
Ngoja tuone itakuwaje
 
kuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.

halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?πŸ’
Kweny hili jukwaa utabaki pekeyako kuwa lamba watawala miguuu kama kweli wew ni mzalendo tuletee hapa ripoti ya CAG hatua iliyo chukuliwa
 
Your browser is not able to display this video.
 
Kweny hili jukwaa utabaki pekeyako kuwa lamba watawala miguuu kama kweli wew ni mzalendo tuletee hapa ripoti ya CAG hatua iliyo chukuliwa
sina haja kua na yeyote kwenye kueleza ukweli gentleman, ni vizur malofa wa kuzomea picha mkaungana na kua pamoja na itapendeza zaidi πŸ’
 
Picha ina nguvu ndo maama kuna picha ya mtu ilichomea na mchoma picha akashitakiwa na kuhukumiwa badae akapotezwa
kwahiyo wewe ni miongni mwa wale wanaokulaga msosi na picha ya samaki alierostiwa sio gentleman?🀣

kama sio ulofa ni nini huo aise?πŸ’
 
Kuzomea picha ni kuwapelekea ujumbe wenye picha. Ndiyo maana aliyechora picha kisha akaichoma/kaichana alifungwa kisha katoweka. Unadhani kwa nini hayo yalitokea. Kama ni upuuzi na ubatili kwa ninj alifungwa na kisha "kutoweka".
sasa si itakua ni ulofa wa kiwango kibaya zaidi gentleman, kwasababu by August 2025, barabara zote za mikoani, nguzo za umeme na zile za matangazo barabara na kuelekea katika kila nyumba ya mtanzania zitakua na picha za mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2025πŸ’
 
Hiyo ni dalili ya afya ya akili, mtu anayezomea picha Hana tofauti na anayecheka na kioo! Pole Sanaa mtu wa ubelgiji
 
Zikisema mama kawezesha hayo mafanikio!
 
Yaani watakachofanya labda kumkodi Diamomd, Ally Kiba na Hamo watumbuize masaa 3 kabla ya mkutano.

Vinginevyo watajihutubia wenyewe watachaguana wenyewe safari hii
 
Iwapo wewe upo ccm ama ubongo wako uliuuza pindi ulipoenda kutafuta usajili kwao ama ulivuka na ubongo wako getini baadae wakaupora baaba ya kuwa mtumwa wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…