John Manoni
JF-Expert Member
- Sep 5, 2020
- 612
- 382
Gentleman Wasira lofa sana injini ya bodi eti lofa wa matibabu, yeye anakwemda mbinguni mwaka wa uchaguzi kupitia India! Lofa sana na wenzake wamesema hawaendi mbinguni.Lofa wa kwenye matibabu hachekewi gentleman π
We mwenyewe ukionekana live na mdela wako wa kijani tutakuzomea pia mnatutilia aibu mno basi tu hatupendi kumwaga damu hamsahiki kabisa kuwa madarakanikuzomea picha ni ulofa wa kiwango cha juu sana gentleman, ni vizuri kufahamu hilo.
halafu hao abiria wazomea picha ni watu wazima au watoto? ulivyowashuhudia unadhani ni wa mikoa gani na gani kwa mfano?π
Nashauri apondwe na mawe kabisaBoda wa pikipiki za samia anapata ajali anakata roho watu wanamtazama tu wakisema mitano tena
Kumuona jamaa laivu ni ndoto nzuri za mchana baada ya kushiba samaki na mihogo na kujilaza kwenye ufukwe wa South Beach kule kigamboni, ni sawa na useme una miadi ya kuonana na Benjamin Netanyahu, Mugabe au Roho Mtakatifu au hata Shetani kama vipi, kwani nini ni gani?!We jamaa kuna siku tukikuona live unavyopenda kubisha kila jambo utazani wahaa waburundi
ulofa mwingine ni wa kindezi gentleman, dahWe mwenyewe ukionekana live na mdela wako wa kijani tutakuzomea pia mnatutilia aibu mno basi tu hatupendi kumwaga damu hamsahiki kabisa kuwa madarakani
Hawezi kuonesha kabisa!Nionyeshe wizi wa Lissu, mzee Kibao saa nane, Mawazo n.k
Wewe ni pimbi?