Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Matumizi ya mitandao ya kijamii inazidi kuongezeka kila siku na usipokuwa makini utaishia kuamini taarifa za uongo kila siku.
Leo tumeona Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akikanusha taarifa za kwamba serikali imeunda kamati ya watu 200 kupitia tozo na kusema kwamba si kweli kwani watu hawa walijadili suala hili wakiwa ndani ya ofisi zao za kila siku. Kuwa makini na taarifa za mitandaoni.
Aidha, natoa pongezi kwa serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa mstahili wa mbele kwenye kuhakikisha kwamba wanasikiliza matakwa na maoni ya wananchi pamoja na kuyafanyia kazi kwa wakati.
Kwa pamoja tuseme KAZIIENDELEE , MAMA YUKO KAZINI