Nazungumzia nchi nzima, hata hapo ulipo wewe.Hao waliowaona wewe wako sehemu gani.
Ulinzi na usalama wa nchi unaanzia na wewe mwanachi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akaye akaye magabo! Ugomba kutukubita magabo!! Kweli wewe unasema sisi tunaanuka vikwapa? Akayeeee!!!!Acha utani! Sheikh Raisi wa nchi,hawezi kuuliwa na watu wakawaida,Raisi wa nchi hawezi kuishi maeneo kama Tandale,Manzese,makazi ya Raisi hata kama ameishastaafu,hulindwa 24/7.
Kikwete mpaka leo,akitoka Kwake pale msasani, Anakuwa na security detail wa kutosha,gari tatu zenye walinzi,sembuse Raisi aliyepo Madarakani.
Huyo Raisi wa Haiti,ameuliwa na watu walioko ndani ya Serikali yake,ambao hawakubaliani nae,ni watu wenye kujua mfumo mzima wa usalama wa nchi, usiwachukulie kama wahamiaji haramu wanaonuka vikwapa na majasho kama wale wa Kigoma, Karagwe, Mtwara, wanaokuja kufsnya kazi za vibarua kukimbia umaskini kwao, walimuua huyu Raisi,ni watu weredi kwenye hizo operations,na sasa hv watakuwa wmaeishaondoka zamani,wapo Paris wanakula mvinyo tu.
Vipi wale wahutu wa magogoni walisharudi kwao ?Kilichotokea Haiti kila mmoja wetu anakijua, ni jambo la kutisha kuuliwa Rais ktk makazi yake lkn waliotekeleza mauaji hayo ni wahamiaji haramu.
Kwa nchi yetu yenye wimbi la wahamiaji haramu inapaswa vyombo vyetu viwe macho masaa 24, operation ktk mahoteli ziwe zinafanyika.
Wapo wahamiaji haramu wengi wamejibanza ktk maeneo yetu, ktk mahoteli yetu, hatujui kila mmoja na nia yake.
Ni muhimu sana kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu kwa usalama wa nchi yetu.
Kilichotokea Haiti kila mmoja wetu anakijua, ni jambo la kutisha kuuliwa Rais ktk makazi yake lkn waliotekeleza mauaji hayo ni wahamiaji haramu.
Kwa nchi yetu yenye wimbi la wahamiaji haramu inapaswa vyombo vyetu viwe macho masaa 24, operation ktk mahoteli ziwe zinafanyika.
Wapo wahamiaji haramu wengi wamejibanza katika maeneo yetu, katika mahoteli yetu, hatujui kila mmoja na nia yake.
Ni muhimu sana kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu kwa usalama wa nchi yetu.