Kuitaka sayansi haimaanishi kupuuza utamaduni wetu. Mtu asiyekuwa na utamaduni ni mtumwa.Na bado mnaitaka sayansi na teknolojia?
Huo ni utamaduni wetu
Sio tamaduni zote zinafaa kuenzi.Kuitaka sayansi haimaanishi kupuuza utamaduni wetu. Mtu asiyekuwa na utamaduni ni mtumwa.
Hivi tunajua madhara ya kuamini ushirikina/miujiza/uchawi au mambo tu ya kusadikika?Kuitaka sayansi haimaanishi kupuuza utamaduni wetu. Mtu asiyekuwa na utamaduni ni mtumwa.
Mkuu sidhani kama una tafsiri sahihi ya ushirikina.Ushirikina ni ujinga kwa kuwa umeacha kumuomba aliyeumba hii dunia na kila kitu unaenda kumuomba binadam mwenzako au shetani. Ila ushirikina upo na utaendelea kuwepo, hao tunaowadhania mabingwa wa sayansi na tekelinalokujia ndio washirikina wakubwa kabisa, USA/UK, kwa kuwa ni wazungu hatuwafikirii hivyo.
Utamaduni unaousema hauna tatizo. Hata hizo tunazopambana nazo ni ulimbukeni tu wa kutaka kuua tamaduni, mila na desturi zetu za kiungwana na kistaarabu na kukaribisha za kishenzi kutoka nje. Vilikuwepo enzi na enzi na watu tulikuwa tunaishi fresh tu.Sio tamaduni zote zinafaa kuenzi.
Ndio maana leo tunapambana kuachana na mila kama za ukeketaji, kurithishana Mke, kuwaua Watoto wanaozaliwa na ulemavu n.k.
Kuuwa Albino/Walemavu, kwamba tuliua na kila kitu kilienda sawa?Utamaduni unaousema hauna tatizo. Hata hizo tunazopambana nazo ni ulimbukeni tu wa kutaka kuua tamaduni, mila na desturi zetu za kiungwana na kistaarabu na kukaribisha za kishenzi kutoka nje. Vilikuwepo enzi na enzi na watu tulikuwa tunaishi fresh tu.
Kwa kweli upo umuhimu huo.Ndio maana tunashauri wadhibitiwe na sheria.
Kwan hiyo sayansi si ndio iliyolewta mambo ya evolution ambapo mpaka lro hatijaona transition ya fosils ya hizo species? Unaambiwa tu walikuwa masokwew lakini huoneshwi link ya mabaki za hao viumbe hatua kwa hatua mpka hao wazungu wakatoka kwenye usokwe na kuwa binadamu !sdi bora sisi waafrika tunaojitambua kuwa binadamu toka day one?Na bado mnaitaka sayansi na teknolojia?
Hapa sijakuelewa ndugu, ila kiukweli suala la ushirikina si la kufanyia mzaha...madhara yake ni makubwa sana.Kwan hiyo sayansi si ndio iliyolewta mambo ya evolution ambapo mpaka lro hatijaona transition ya fosils ya hizo species? Unaambiwa tu walikuwa masokwew lakini huoneshwi link ya mabaki za hao viumbe hatua kwa hatua mpka hao wazungu wakatoka kwenye usokwe na kuwa binadamu !sdi bora sisi waafrika tunaojitambua kuwa binadamu toka day one?