Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

..bila Mbowe kuwa na moyo alio nao wa kuthamini na kusaidia watu wengine, kwa lililomtokea Lissu asingekuwa hivyo tunavyomuona.
....Na Freeman Mbowe kama binadamu, kiongozi na nahodha wa timu alifanya hivi Ili huyu mtu afike nyakati na majira haya!

.....Thank God. Everything has worked perfectly. Huko Lumumba hakukaliki Sasa na ukienda YouTube Kuna channels nyingi za machawa zinatengeneza vimahojiano vya kuikandia hii blockbuster movie ya CHADEMA!
 
..bado yanahitaji mtu mwenye uvumilivu sana na mlezi kuepusha shari.
Kuepusha shari kutoka kwa nani? Saa ya ukombozi ni sasa, Mbowe anatakiwa ampishe Tundu Lissu kwenye Uenyekiti HARAKA ili akatafute MUAROBAINI wa kukabiliana na hiyo SHARI yenu.
 
Mbowe aliongea kabla ya Lissu ila aliongea kabobo tu.

Alifokafoka tu kama mtu ambaye hajaenda shule anatumia turufu ya jina na entitlement ya cheo.

Hakuwa anajenga hoja za kiushawishi.

Kimantiki kabisa Mbowe alitakiwa kujiuzulu muda mrefu maana kashindwa mambo mengi tu.

Alitakiwa kujifunza somo la "kung'atuka" la Nyerere.
 
Kwa mawazo kama haya, ndiyo maana watu wanasema, vyama ni kwa ajili ya maslahi ya viongozi na si vya wanachama
 
Na pia ukumbuke kuwa kama Lissu akiwa mwenyekiti haina maana kuwa Mbowe atahama Chadema.
 
Labda kwavile ni chama kulichoasisiwa na Mkwewe ,Edwin Mtei
 
Acha kupiga ramli. Lissu anawachemsha na kiwakaanga bila taarifa ili mradi tu anazingatia sheria na kanuni za chama. Hakuhitaji majadiliano ya awali juu ya uamzi wa mtu kuwania kiti kwa kuzingatia katiba ya chama.
 
Sawa kwa kweli tuwe objective, CCM wana haja gani ya kuumizwa na uwepo wa Mbowe kwenye chama kama Mwenyekiti?
 
Kwa hiyo sababu za Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti ni kumfikisha Lissu hapo alipo? Pumbavu kabisa hili
..matusi ya nini wewe mende, kuna mtu aliwahi kuwa confrotational km Mtikila nchi hii? utayari wa watu kuvamia maduka ya wahindi kufanya uporaji wakitoka kwenye mikutano yake leo hii upo? watu wa aina hiyo wapo? Alifanikiwa Mtikila..kitu gani anacho Lissu zaidi ya alivyokuwa navyo Mtikila vitakavyompa mafanikio akikiongoza chama..acha matusi bwana!
 
Katiba ya JMT ni ya 1977

Katiba ya CCM ni ya 1977

Sidhani kama unaelewa 😂
Kwa hiyo katiba yao wanavyoitii inahalalisha wao kubaki kutawala? Wewe umesema Mbowe ana muda mrefu, nimekuuliza ccm je mbona husemi wao pia wapumzike..unarukia katiba, katiba ndio zinapiga kura..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…