Ndugu
OKW BOBAN SUNZU
Kwa ufahamu na uelewa wako unadhani Tundu Lissu hajashauriana kwanza na Mwenyekiti wake na Mwenyekiti kutoa go ahead...?
Kama ulisikiliza vyema hotuba ya Freeman Mbowe juzi neno kwa neno wakati CHADEMA wanatoa tamko na msimamo wao juu "uchafuzi" wa kile kilichoitwa uchaguzi wa vijiji, mitaa na vitongoji, unaweza kuunganisha dots na kuweza kuelewa kuwa huu ni mpango mkakati wa chama kwa ujumla...
Kwa kifupi, huyu ndiye aliyeandaliwa kuchukua mikoba ya Freeman Mbowe CHADEMA...
There's absolutely NO HATE NOR FEAR in this move...
Na ni move ambayo imeitetemesha Lumumba, Magogoni na Chamwino yote....
Ndiyo maana huko Lumumba hakukaliki Sasa hivi. Wanabuni plan C maana A & B zote zilishafeli...
Ndio maana wameibuka kwenye mitandao kama nyuki waliotibuliwa mzingani na Moshi wa moto na ghafla Mbowe aliyekuwa target ya mashambulizi yao kama mla ruzuku yote ya chama zikiingia kwenye akaunti yake binafsi, mng'ang'ania madaraka leo anatetewa na Chawa wa Samia na CCM eti asikubali Tundu Lissu kum - challenge....!!
Loooh, this is absolutely ridiculous. Na hii kumbe ni kweli ni Bongolala...!
Hata hivyo, Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti. Hili halina ubishi tena....