Mbowe keshaoverstay hana tena kipya atakachofanya kikarudisha imani ya chadema kwa watanzania, sanasana atakisogeza kaburini tu! Tunahitaji challenge mpya na chama kiundwe kuwa taasisi sasa yenye mifumo inayofanya kazi, sio mgombea mmoja ana chopa wengine wote wanapiga spana mapick up yao binafsi