maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
Lissu anafaa kuwa makamu au mweneziSijamkataza kugombea, nimempa changamoto. Najua wabongo ni watu wa ndiyo mkuu, kuhojiana ni mambo mageni kwenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lissu anafaa kuwa makamu au mweneziSijamkataza kugombea, nimempa changamoto. Najua wabongo ni watu wa ndiyo mkuu, kuhojiana ni mambo mageni kwenu
Lisu ni kijana?Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
Kama Lisu hana Element za Usaliti kama za akina Zito Kabwe na Mkumbo hoja zake zinatosha kumpa uenyekiti wa chama, Intelligensia ya chama ichunguze hili, ili ikiwezekana kwa mazingira ya sasa ni vizuri mbowa aka step down ili kumaliza propaganda za akina msigwa na wenzieJana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
..siasa za kuwa radical Mtikila alifanikiwa? Mbona hata yeye Lisu ameshindwa kudai stahiki zake za ubunge pamoja na kuwa radical? na nyinyi mbona hamsemi kutaka wadhalimu wamlipe stahiki zake..kipi borà kwake apate stahiki ya jasho lake au kupigania haki za wengine halafu uishi kwa michango..mbona mmeshindwa kumshauri arudishe familia yake hapa nchini, kwenu ni sawa Lissu kuwa hapa peke yake akifanya kazi wakati familia yake iko mbali uhamishoni? Mambo ya uongozi yanahitaji sana sapoti ya familia yako, yeye ni binadamu anahitaji faraja na kutiwa moyo na watu wa karibu naye..wako wapi? Mnaelewa kweli mazingira yanayomzunguka Lisu au vile tu hoja ni Mbowe amekuwa mwenyekiti muda mrefu..!
MkuuHuwezi kunielewa, kusema uzi wangu nimemtukana Mbowe ni ushahidi kuwa uzi huu umekuzidi kimo na huna uwezo wa kuujadili. Tafuta mtu hapo karibu akujengee uwezo
Hebu andika dot tatu hapo nilipomtukana MboweMkuu
Hii kusema sijaelewa,sijui uzi umenizidi kimo,ni kujipa cheo cha kutoa uzi na kutupangia jinsi ya kuelewa
Wewe umetoa uzi,kuelewa ni kazi yetu sisi hadhira,usitupangie jinsi ya kuelewa
Kama ulitaka kuelewa unavyotaka wewe,basi hukua na haja ya kutoa huu uzi
Hoja yangu ni kwamba,kama unataka Lissu achukue chama,huna haja ya kumpaka matope Mbowe
Lissu atapata kura zote anazoweza kupata bila haja ya kumdhalilisha Mbowe
Nachoshangaa ni kudhalilisha wanachadema wengine sababu tu mwanachadema wewe unagombea
Wote ni proven beyond reasonable doubt kua ni Chadema damu damu na wana uwezo wa kuongoza na wote tunawaaamini
Atakaepata Uenyekiti apate,sina wasiwasi na yeyote kati yao
Fanya kampeni za kistaarabu,huna haja ya kutupia matope Wanachadema wengine,wote tupo nyumba moja,huna haja yakua counter productive namna hii ndugu!
20 tosha.Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
..rudia kusoma uelewe kijana anayeongelewa ni nani, haraka ya nini halafu huelewi ujumbe.Lisu ni kijana?
..uzoefu/trend ndio inatoa cha kufuata, that's why nyakati za sasa hazihitaji radicalism ya Lisu ili chama kifanikiwe....siasa za ma'radical hazijafanikiwa.
..siasa za unyenyekevu pia hazijafanikiwa.
..Je, wananchi tufuate kipi?
UWT mtafanya lini uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM taifa?Mbowe ana masilahi binafsi kwenye chama ndio maana hayuko tayari kumpisha Lisu.
Lisu atakifungua chama, Mbowe kakifanya chama kuwa cha kikanda., kama kampuni yake.
""Bila mbowe kusimama imara chadema ingesha jifia zamani""Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Sio kweli familia itamwonaje Fr man lazima na yeye agombeeJana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea
Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.
Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Nasema WEWE ndio umeshupalia kumpaka matope mmojawapo bila sababuHebu andika dot tatu hapo nilipomtukana Mbowe
Hebu andika dots tatu hapo Lissu alipompaka matope Mbowe.
Hiki itakusaidia kupunguza mkeka wa hotuba
Otherwise wewe ni mitini usiye na aibu kabisa
Andika dots za mimi kumpaka matope MboweNasema WEWE ndio umeshupalia kumpaka matope mmojawapo bila sababu
Lissu mostly has respect for Mbowe maana Lissu ni kichwa na anajua nini maana ya siasa
Tatizo ni WEWE na wenzako,ambao ni wapambe,mnamtusi na kumtupia matope Mbowe ambae ni mgombea kama alivyo Tundu
Mnataka sasa Mbowe asigombee kabisa,udkiteta mnaomtuhumu nao Mbowe nyie ndio mnataka kuufanya
Strange
Fanya kampeni kistaarabuAndika dots za mimi kumpaka matope Mbowe
Katika siku nimepoteza muda ni kujadili na hili pumbavu. Nimekuambia nukuu wapi nimemtukana Mbowe umebaki kukenua tu. Ishia zakoFanya kampeni kistaarabu
Acha kupaka mwingine matope kuinua mgombea wako,thats counter productive
Wote ni Chadema na wote wanafaa,wacha mkapige kura huna haja ya kunya mezani
Succession plan huijui?Sifa alizotaja Lissu jana..ni sifa gani hakuwa nayo wakati Mbowe anagombea uenyekiti mara ya kwanza? Km vile viungo vya mwili vinavyohitajiana na uongozi kwenye kundi ni hivyo hivyo, mkono hauwezi kufanya kazi za kichwa..Lissu hawezi kazi/majukumu ya kuwa Mwenyekiti..anaweza kuwa msaidizi..ukizitambua kazi za kichwa cha mnyama, hizo ndio sifa za Mbowe kuwa Mwenyekiti Chadema..tujifunze kujua vyama vina maelekezo ya waliobeba maono wakati kinaanzishwa vzr kuyazingatia kuliko jazba za ujana..kwa anayesoma vitabu pekee vyenye umri mrefu kupita vitabu vingine vyote..vina mifano ya kutahadhalisha jamii kufuata msimamo wa vijana au kusikiliza maneno yao..9 kati ya 10 yana mwelekeo wa uharibifu na si kujenga.
Unamtukana na kumnanga MboweKatika siku nimepoteza muda ni kujadili na hili pumbavu. Nimekuambia nukuu wapi nimemtukana Mbowe umebaki kukenua tu. Ishia zako