Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

Tuwe objective: Mbowe ana sababu gani za kuendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA

Ndugu OKW BOBAN SUNZU

Kwa ufahamu na uelewa wako unadhani Tundu Lissu hajashauriana kwanza na Mwenyekiti wake na Mwenyekiti kutoa go ahead...?

Kama ulisikiliza vyema hotuba ya Freeman Mbowe juzi neno kwa neno wakati CHADEMA wanatoa tamko na msimamo wao juu "uchafuzi" wa kile kilichoitwa uchaguzi wa vijiji, mitaa na vitongoji, unaweza kuunganisha dots na kuweza kuelewa kuwa huu ni mpango mkakati wa chama kwa ujumla...

Kwa kifupi, huyu ndiye aliyeandaliwa kuchukua mikoba ya Freeman Mbowe CHADEMA...

There's absolutely NO HATE NOR FEAR in this move...

Na ni move ambayo imeitetemesha Lumumba, Magogoni na Chamwino yote....

Ndiyo maana huko Lumumba hakukaliki Sasa hivi. Wanabuni plan C maana A & B zote zilishafeli...

Ndio maana wameibuka kwenye mitandao kama nyuki waliotibuliwa mzingani na Moshi wa moto na ghafla Mbowe aliyekuwa target ya mashambulizi yao kama mla ruzuku yote ya chama zikiingia kwenye akaunti yake binafsi, mng'ang'ania madaraka leo anatetewa na Chawa wa Samia na CCM eti asikubali Tundu Lissu kum - challenge....!!

Loooh, this is absolutely ridiculous. Na hii kumbe ni kweli ni Bongolala...!

Hata hivyo, Tundu Lissu ndiye Mwenyekiti. Hili halina ubishi tena....
Ninachoona kwenye mkutano mkuu Mbowe atamsifia na kumwunga mkono Lissu,sidhani kama Mbowe atagombea ila anaweza kuwa makamu mwenyekiti. Ila nachoombea kama wote watagombea nafasi moja basi wote uchaguzi uwe wa haki na ukweli ingawa naona Mbowe atashinda tu
 
Nasisitiza muda wa Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti umeshapita. Hayo mafanikio yake ni historia. Kuhusu Lisu kudai stahiki zake hilo amefanya, ila sio yeye mtoa haki, bali ni mifumo ya kutoa haki imeoza. Unataka Lisu aache kuleta mabadaliko ndani ya cdm kisa mifumo ya nchi ya kutoa haki imeoza? Sisi tuna muamini maana ameahidi kuleta mabadiliko ndani ya cdm, huku Mbowe akiwa hana jipya la kuipatia cdm.
..mabadiliko gani ataleta Lisu, mifumo iliyomyima haki zake ni ile ile inapambana na chadema, mabadiliko aliyoahidi TLS alipochaguliwa kuwq Rais wa TLS alitimiza?
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Ila Mbowe hajatangaza kugombea
 
Mbowe hana jipya na uzee wake hauna msaada kwa CHADEMA na kwa upinzani na muelekeo wake kwa ujumla.

Uanaharakati wake hauna ubunifu wowote wenye kuendana na mahitaji ya kisiasa, miaka ile ya 2004-2005 alikuja na sera za kuandika makala kwenye gazeti la Tanzania Daima na haya anayoyaongea majukwaani hayana tofauti na zile makala zake zenye nia ya kuamsha mapambano miongoni mwa vijana.

Alichotaka kitokee September 23 mwaka huu hakina tofauti na yote aliyokuwa akiyaandika miaka ile, kwa ufupi hana jipya kwa kulinganisha na namna ilani ya uchaguzi ya CCM inavyoweza kukamilishwa ukurasa mmoja hadi mwingine..
..ilani ya ccm na Mbowe wapi na wapi, Lisu hana jipya lolote ni maneno tu, hana huo uwezo kuongoza chama kikafanikiwa..TLS chini yake ilifanikiwa? Taja mapya aliyofanya TLS..kuongoza chama sio mambo ya ahadi tu, uwezo unao?
 
Mbowe anafaa uenyekiti ila kwa mazingira ya sasa Lissu anafaa zaidi kuliko Mbowe.
 
..mabadiliko gani ataleta Lisu, mifumo iliyomyima haki zake ni ile ile inapambana na chadema, mabadiliko aliyoahidi TLS alipochaguliwa kuwq Rais wa TLS alitimiza?
Mabadiliko ya katiba ya cdm, na uendeshaji ikiwemo kuondoa upendeleo usio na tija. Sijui alichoahidi huko TLS, hivyo siwezi kulisemea hilo. Hata hivyo urais wa TLS ulikuwa wa mwaka mmoja, ni ngumu kufanya mabadiliko serious hasa ya kitaasisi kwa kipindi kifupi hivyo. Hiyo mifumo mibovu itaondoka kwa kuidai sio kwa mijadala ya kitapeli iitwayo maridhiano.

Kwa maneno marahisi tutamuhukumu Lisu baada ya kupata nafasi hiyo, na sio kwa hizi nongwa zako. Mbowe yeye ameshakaa kwa miaka 20, aliyofanya yanatosha, sasa ni muda wa yeye kukaa pembeni na kupisha wengine. Kuna ambacho hakieleweko hapo?
 
..Mbowe hajakata tamaa na kiwango cha uvumilivu kiko bora kabisa kwa sasa kuliko wakati mwingine wowote na hivyo atakilinda chama kisivunjike wakati huu ambapo ccm wamedhoofika zaidi, ccm inaongozwa kitoto hawatafika mbali na hawana hao watu wa kuwapa matokeo yanayoweza kuwaridhisha wote wao kwa wao na wananchi kwa ujumla, kila majira yana mahitaji yake mawili au matatu muhimu, mahitaji ya chadema kwa sasa hayamhitaji mtu wa aina ya Lissu..
Hata kama Sio Lisu basi awe mtu mwingine maana chadama ni Chama kikubwa kina rasilimali watu wengi ambao wanaweza kushika nafasi ya Mbowe na kuleta ufanisi mkubwa pengine kuliko Mbowe.Kama mbowe Anang'ang'ania kuendelea kuwa mwenyekiti kuna mambo mawili makuu;
1.Anaamini kuwa Chama hakina watu wenye sifa za kuwa wenyekiti,Zaido ya yeye tuu.of which ana justify kuwa Chama ni dhaifu Kwani hakina rasilimali wari wakutosha kulishika dola.Self Point of contradiction.
2.Au anaamini kuwa kuna watu wana sifa za kushika nafasi yake lakini haachii Kwa sababu ana maslahi binafsi na Chama na wala si maslahi ya umma kama anavyowahadaa Watanzania
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Sio shida

Lissu kugombea sio sababu za kuanza kutukana mwingine

Wote wakigombea hakuna haja ya kutukanana,afterall wote mnajenga chama kile kile

Huu mwendo wa wafuasi wa Lissu kutukana mgombea mwingine sio sahihi

Sana sana tunazidi haribu chama chetu,acheni wagombea walete sera zao mpige kura

Matusi na ku baguana sababu ya umri ni namna fulani ya ukichaa hivi,tena watu wa chama kile kile kimoja

What a shame
 
Hii ni miandiko ya CCM au manamba wake
Maana CCM ukitaja udhaifu wao na kuahidi kufanyia kazi basi wao huona ni matusi makubwa sana.

Ili tusikuite manamba taja matusi ya Lissu kwa wagombea wengine
 
Kasema haondoki ,Chama cha mkwe wake analinda maslahi.
Hayo makao makuu ya Chama ni nyumba ya dadaake kitambo tu.
Sasa .nataka aende wapi?
 
Hii ni miandiko ya CCM au manamba wake
Maana CCM ukitaja udhaifu wao na kuahidi kufanyia kazi basi wao huona ni matusi makubwa sana.

Ili tusikuite manamba taja matusi ya Lissu kwa wagombea wengine
Sijakuelewa

Nikijaribu kukuelewa,umemaanisha kwamba mimi ni CCM?

Kua serious aisee

Uzi wako unamnanga na kumtusi Mbowe,haina haja

Kwanini hawa wagombea wote wawili wakagombea na mkapiga kura akapatikana mmoja?

Hii kuzonga zonga mgombea mmoja sio sahihi,nakutuhumu wewe kwa kufanya hili

By the way mimi sio CCM...ni Chadema through and through,and Im not here to prove my membership to you
 
Huwezi kunielewa, kusema uzi wangu nimemtukana Mbowe ni ushahidi kuwa uzi huu umekuzidi kimo na huna uwezo wa kuujadili. Tafuta mtu hapo karibu akujengee uwezo
 
Jana nimemsikia Mh. Lissu mwanzo mpaka mwisho
Nikiri kuwa sijasikia kama Freeman atagombea.
Nafahamu kwamba kwa heshima yake kama angekuwa hagombei anawaachia "vijana" basi angeshatoa taarifa mapema kidogo.
Kwa hiyo anaweza kugombea

Sasa nimekuwa najiuliza kama Mbowe ataamua kugombea uenyekiti atakuwa na sababu gani za kuamua kuendelea kuwa mwenyekiti kwa zaidi ya miaka 20.

Declaration of Interest
Namuunga mkono Lissu kuwa Mwenyekiti kwa sababu nzuri alizozitaja jana
Shiriki uchaguzi mkuu. Mbowe ana haki na uwezo wa kugombea
 
Back
Top Bottom