Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Nenda kwenye hoja ya msingi, hizo pesa risiti zake anatoa nani?Swali gani.ivyo ni jamaa ali amka tu asubuh akawaza kuchapisha vi karatasi mka pewa
Lazima tuhoji.Mfuko wa hizi pesa uko wapi na zinafanya kazi gani?Hapo wameshapigwa sema kaokoa okoa baadhi Mr. Tundu .
Kama kawaida yao, wanasababisha ajari kisha wanajifanya kuokoa jahazi, wala sio majeruhi .
Wakati huo huo wanasisitiza udai rist ya malipo ! Vituko tupu, na hakuna rist hapo .
Wengine walitaka apewe miaka 7 badaya ya hii mitano ili akapumzike pale CIA.
Jamaa hafai, na hivi kila mmoja pale anamtetemekea hakuna wa kuhoji.
Naendelea kumshukuru Mungu kuweka sauti ya wengi kwenye kinywa cha Lissu, la sivyo angepita bila kupigwa kama alivyo zowea kwao chattle.
Hakuna mwanaccm hasiye mpiga deal, not even Meko full himselfhapo rais Magufuli kapiga dili.
Wizi mtupu wa magufuli kwa wanyongeNaanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?
Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.
1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Mkuu bado unauliza? Ukimwona Magu anababaika leo anajibu hivi mara vile ujue kapiga hela ndefu sana..Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?
Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.
1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Kitu kizuri zaidi ni kuwa 95 ya WATANZANIA ni wapiga dili.
Hatari halindio hiyoooNaanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?
Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.
1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Prof ambae huna akili,hujui kuwa mlipaji anapewa control number,na risiti inayotoka ni electronic,na malipo yanaingia hazina! Jinga pumbavu linalojiita prof.Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?