Hivi Rais akifanya kitendo kama hicho cha waziwazi kabisa wa kuchukuwa pesa za wananchi namna hiyo inakuwaje hata aendelee kugombea baada ya hii kashfa ya vitambulisho si inatosha kabisa kupoteza Sifa maana yeye siyo kwamba hakulipa kodi bali amefanya udanganyifu wankukusanya kama TRA kinyume na utaratibu wa uku sanyasi was pesa za seriakali. Hivi hili linawezaje kufumbiwa macho. Ni vema tuambiwe hizo pesa ziko wapi hadi sasa na zinafanya nini zimepatikana bila maandishi maana kama hakuna risiti ya waliolipa sasa zimehifadhiwa wapi na kama pesa za nini. Ni vema serikali akatolea ugafanuzi jambo hili maana ni pesa nyingi imekisanywa.