Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Huwezi pata majibu kwa hayo maswali kamwe!!!Naanza kupata wasi wasi na hili zaidi ya 90% kuhusu hivi vitambulisho vya mjasiriamali. Kila nikitazama najiuliza ni vipi serikali yangu ilifanya haya na kwa manufaa ya nani?
Naomba nijibiwe maswali haya tafadhali sana.
1. Kwanini hivi vitambulisho vinatolewa bila risi ya malipo?
2. Hizo pesa za vitambulisho zilizokusanywa zilienda kwenye mfuko wa nani na kufanya nini? Nani mwenye kuujua mfuko huo?
3. Kwanini mjasiriamali hakuambiwa anatoa hizo pesa zinaenda kufanya kitu gani?
4. Ilikuaje Rais ndio achangishe hizi pesa badala ya mamlaka yetu ya kukusanya kodi TRA?
Usione Ccm wameprint tshirt za kugawa kwa watu wanaoenda kwenye mikutano yao na kuwa na makundi makubwa ya wasanii.
Hela za vitambulisho vya machinga ndo zinafanya hayo. Ndo mana nikiona mtu anasema magufuli ni mzalendo mi huwa namshangaa sana 😂