Tuwe tu wakweli ndugu zangu, hivi Vitambulisho vya mjasiriamali hatujapigwa?

Hivi Rais akifanya kitendo kama hicho cha waziwazi kabisa wa kuchukuwa pesa za wananchi namna hiyo inakuwaje hata aendelee kugombea baada ya hii kashfa ya vitambulisho si inatosha kabisa kupoteza Sifa maana yeye siyo kwamba hakulipa kodi bali amefanya udanganyifu wankukusanya kama TRA kinyume na utaratibu wa uku sanyasi was pesa za seriakali. Hivi hili linawezaje kufumbiwa macho. Ni vema tuambiwe hizo pesa ziko wapi hadi sasa na zinafanya nini zimepatikana bila maandishi maana kama hakuna risiti ya waliolipa sasa zimehifadhiwa wapi na kama pesa za nini. Ni vema serikali akatolea ugafanuzi jambo hili maana ni pesa nyingi imekisanywa.
 
Hapo rais Magufuli kapiga dili.
Kitambulisho,1. No picha
2. No stakabadhi ya malipo.
3. No maelezo ya mapato
4. No maelezo ya matumizi.
TUMEPIGWA. LABDA ZIMENUNULIA MABOMU YA KUWATAWANYA WAPINZANI.
 
Mnufaika ni jiwes and company amepiga zaidi ya bilion 100 kwenye ID ambazo gharama za kukitengeneza haifiki hata buku 2 kwa bei ya jumla.
 

Hii hoja hawawezi ijibu watasingia mabeberu
 
Kwa nchi zilizoendelea hicho kitambulisho ni sababu tosha ya kung'olewa madarakani, Tena akitoka hapo straight to court.
 
Kitambulisho,1. No picha
2. No stakabadhi ya malipo.
3. No maelezo ya mapato
4. No maelezo ya matumizi.
TUMEPIGWA. LABDA ZIMENUNULIA MABOMU YA KUWATAWANYA WAPINZANI.
Nyamongo na Ifakara wamepiga mabomu hakuna hata raia aliyetikisika,wao wapige tu mabomu yataisha sijui watapiga nn tena
 
Mtu msafi apendi Giza Wala kujiondoa kuendesha serikali kiuwazi. Mtu msafi ni rafiki wa media aogopi media
 
sio kitamblisho ni kabango kadogo tuu....wajisiriamali wameshapigwa ngeu.
 
Bas mkuu tumechelewa km pesa za kampeni zimeshapatkana wenzetu wanatamba tu.
 
Bas mkuu tumechelewa km pesa za kampeni zimeshapatkana wenzetu wanatamba tu.

Watambe tu, lakini wakumbuke kuwa KARMA IS A BATCH..

Na kuwa, kila tendo ovu la dhambi lina consequences bila kujali kana unalifurahia sasa ama laa..
 
Kitu kizuri zaidi ni kuwa 95 ya WATANZANIA ni wapiga dili.

Ila wametofautiana kanda na kanda.
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watambe tu, lakini wakumbuke kuwa KARMA IS A BATCH..

Na kuwa, kila tendo ovu la dhambi lina consequences bila kujali kana unalifurahia sasa ama laa..
Dah hapa sasa kwa Mimi/sisi wenye familia ni kipindi fikieishi sana, tumuombe sana mungu aitunze na kuilinda tanzania yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…