Tuwe Tunawaambia kwa uwazi Mabinti zetu.

Tuwe Tunawaambia kwa uwazi Mabinti zetu.

Mateka

Senior Member
Joined
May 2, 2011
Posts
131
Reaction score
41
Kuna mama mmoja alimsihi binti yake asidanganyike na mafataki lakini badala ya kusema straight yeye akamwambia binti yake asikubali mwanaume yeyote kulala juu yake akifanya hivyo ataharibikiwa maisha. sasa siku moja mazumgumzo yakawa hivi:

MAMA:Mbona mwanangu leo umefurahi sana.
BINTI:Yule kijana aliyekua ananifuatilia kila siku nimemkomesha leo.
MAMA:eeh umemfanyaje?
BINTI:Alitaka alale juu yangu mimi nikamgeuza nikalala juu yake, kwahiyo nimemwaribia maisha yake.


Tuwe tunakua wazi jamani yasije yakatokea kama kwa huyu mama.
 
Back
Top Bottom