Tuwe wakweli, Freeman Mbowe anavuna alichokipanda

Pale mama yako wa kambo alipo sema kuwa wenzie na Mbowe tayari wamesha hukumiwa huku akijua kuwa ni uongo alikuwa anatumia KATIBA ya Pemba au kule kwao Omani?

ebu kunywa maji kwanza utulize wenge
 

😁😁

 
Niliposoma title nikajua nitapata fursa ya kufahamu makosa ya ugaidi ya Mbowe,sijaona hata moja bali blah blah tu.Mbowe siyo na hawezi kuwa gaidi.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
PROVE UDHALIMU UNAOFANYWA KWA NADHARIA ILIYO HAI,SIKU ZOTE HUWA NAAMINI KESI AU SHAURI,MAANA YAKE NI MTUHIMIWA,USHAHIDI ULIOPO,PAMOJA NA WASIKILIZA SHAURI,TUIACHIE MAHAKAMA
Low IQ,ssh alishasema wenzAke Mbowe walifungwa.ni kina nani hao???
 
Mbowe yuko ukonga,sio segerea

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Low IQ,ssh alishasema wenzAke Mbowe walifungwa.ni kina nani hao???
Alisema walishakamatwa..!,aliyekuwa amebakia kuunganishwa nao ni mbowe pekee!.#Acha mapenzi ya kupitiliza,yatakutia upofu,penzi kizunguzungu!
 

Sumu haionjwi - FrimaniMbowe
 
Kama kweli Mbowe ana hatia hizo afungwe afie jela.

Lakini kama anaonewa aisee Mungu ana nguvu wanamuonea hawatabaki salama, hata kama sio leo sio kesho lakini wajue Mungu ana nguvu
 

agizia bia, bili kwangu
 
kikatiba hana mamlaka ya kuingilia maamuzi ya sheria! kwan hujasoma judiciary, legislature na parliament?

Wewe ni mpumbavu! Kesi za mashehe ziliamriwa na hakimu/jaji? Kesi 147 za wahujumu uchumi nazo? Uliposikia watu wanafunguliwa accounts zao ulidhani ni TRA wamefanya?

Katiba unayoitaja inatumiwa kuapa tu. Haina chochote kingine inafanya - katiba hapa kwetu haitumiki kuongoza maamuzi!! Ingekuwa hivo kukikuwa hakuna haja ya Rais kusema Mbowe ndiye alikuwa amebaki katika kesi yao na kuwa wenzie walikuwa tayari wanatumikia vifungo vyao. Kumbe ukweli ni kuwa hata kesi yao bado haijasikilizwa!! Mamlaka ya Rais ni above kuingilia - anateua mpaka majaji, jaji mkuu na kama hakutaki uwe Spika, huwezi kuwa. Unadhani huko kutoingilia kutakuja kwenye utendaji wa mihimili hiyo tu?? Hapana, kuingiliwa kwa mihimili mingine kunaanzia nyuma sana - kuteua yule mtu unamtarajia kutenda yakupendezayo tu!!
 
Kwa hiyo hao waliokwenda wao ni nguvu ya nini. Ulitaka waende na ma silaha wachome vitu moto na kufanya unyang'anyi ndio mguvu ya umma unayosemea hapa? Hivi unakua kama sio mbowe kuwa mstaarabu leo hii bado watu wanagongana vichwa? Hivi angeamua na yeye kujilipua kama akina byesige au bob wine ingekuwaje.
Nimekudharau sana
 
Punguza ujinga hauwezi kukusaidia.sana sana unalidhalilisha tu jeshi la polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…