Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Kwenu wakuu tuwekane sawa
Umetumwa kuharibu amani ya nchiFambua mchele dadaako apike shemej ale mapema
Tumekwisha aiseeOutdated, siku hizi ni muamala tu, mtoto anakuambia tuonane lini ?
Namba saa 12 saa 4 yuko getoSayansi na teke linalokujia vimebadilisha kila kitu, zama ni mpya na mambo ni mengi sana
NomaaMambo iko huku
Mambo yapo simplified sana siku hiziNamba saa 12 saa 4 yuko geto
Mtalala na mapepo kwa kupenda mambo simplified.Mambo yapo simplified sana siku hizi
Kwanza lazima ujiulize hivi imekuaje leoleo kaniletea mbususu huyu mzima kweli hata nguvu ya kukamia inapotea unavaa ndomu unapiga kimoja unamwambia asepe walivyo wa hovyo anaenda kukutangaza eti mbovu kimoja chali ezi hizo unatongoza leo mwaka mnazungushana siku ukipata unaichapa kweli kwa hasiraMambo yapo simplified sana siku hizi
Dunia imevaa sketa hiiSiku hizi hata hiyo nguo imefutwa, ni kamba tu katikati ya makalio na jeans.
Mambo yamebadilika ndio, tena sana.
Bikini mkuu.Dunia imevaa sketa hii
Hatari tupuBikini mkuu.
Mbaya zaidi hawa wa siku hizi ni mabingwa wa kupanga kikosi unakuta ana kikosi cha kwanza na subs , ukiingia kichwa kichwa ni UTI sugu au gonorrhea kaliKwanza lazima ujiulize hivi imekuaje leoleo kaniletea mbususu huyu mzima kweli hata nguvu ya kukamia inapotea unavaa ndomu unapiga kimoja unamwambia asepe walivyo wa hovyo anaenda kukutangaza eti mbovu kimoja chali ezi hizo unatongoza leo mwaka mnazungushana siku ukipata unaichapa kweli kwa hasira
Siku hizi linafunuliwa tarco ndio uone kifuniko cha asali