Umakini muhimu aiseeeMbaya zaidi hawa wa siku hizi ni mabingwa wa kupanga kikosi unakuta ana kikosi cha kwanza na subs , ukiingia kichwa kichwa ni UTI sugu au gonorrhea kali
Aiseeeee ni mbaya sanaaSiku hizi linafunuliwa tarco ndio uone kifuniko cha asali
Hakika, ukikurupuka utakuwa umeumbukaUmakini muhimu aiseee
Njoo chumbani laaziz, waache hao na mawazo yao ya ajabu.Mbona bado tupo jamani! mimi kwakweli huioni kabisaa😔
Msikieni huyu nae 💉Mbona bado tupo jamani! mimi kwakweli huioni kabisaa😔
NafikiriUshawahi kutumiwa view once ndugu mwandishi
Najitunza niache!Msikieni huyu nae 💉
Uote!Nafikiri
Huko mwanza sijui kunachuo cha kujifunza uongo 😴Najitunza niache!