PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 392
- 798
Kamuulize aisha manula anamjua huyo aziz ki,sio wewe parachichi.Kweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
We unadhani bila mimi kununua jezi watapata hizo helaUmepigwa pesa umetoa ww shabiki mwenyewe hata jero ya maji hujawahi kuchangia
Lazima tuseme ukweli, wengine hatukulala tunamsubir alaf hana maajabuSio Lazima Wote Tuwe Mashabiki Wa Mpira Wa Miguu Wengine Mkashabikie Netball.
Dejan ndie mwenye maajabu. Hiyo inatutosha sisi.Lazima tuseme ukweli, wengine hatukulala tunamsubir alaf hana maajabu
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Mechi ijayo naomba mwalimu aanze na bigirimana, K aanzie benchi!Sawa tutalifanyia kazi. Tuma salamu kwa watu watatu[emoji441]
Kweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ni sababu zipi zimekufanya useme hivyo?Kweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Naona kama ntibazonkiza alikuwa anapambana sana kupeleka mashambulizi mbele, kutengeneza nafasi na kufunga....Ila huyu K anapenda kukimbilia pembeni ambapo inakuwa ngumu kufunga au kutengeneza nafasi sababu wakati anakimbilia pembeni unakuta katikati kumesha blockiwaNi sababu zipi zimekufanya useme hivyo?
Angalia na position anayopangwa. Angalia mechi ya Simba vs Yanga baada ya kuwekwa nafasi sahihi je ali offer nini kwa timu.Naona kama ntibazonkiza alikuwa anapambana sana kupeleka mashambulizi mbele, kutengeneza nafasi na kufunga....Ila huyu K anapenda kukimbilia pembeni ambapo inakuwa ngumu kufunga au kutengeneza nafasi sababu wakati anakimbilia pembeni unakuta katikati kumesha blockiwa
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Sasa tulimsajili wa nn kama hatujui kumtumiaAngalia na position anayopangwa. Angalia mechi ya Simba vs Yanga baada ya kuwekwa nafasi sahihi je ali offer nini kwa timu.
Tanzania kuna mashabiki wa mpira na kuna wanaoufahamu mpira wewe uko kwenye kundi la mashabiki wa mpira ambao asilimia kubwa awajui chochote juu ya mambo ya kiufundi bali wao wanachifurahia ni mchezaji kupiga chenga kufunga basi amemalizaKweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Tuambie wewe fundi, K anamchango gan kwenye timu ambao ungemzidi saidoo kama angekwepoTanzania kuna mashabiki wa mpira na kuna wanaoufahamu mpira wewe uko kwenye kundi la mashabiki wa mpira ambao asilimia kubwa awajui chochote juu ya mambo ya kiufundi bali wao wanachifurahia ni mchezaji kupiga chenga kufunga basi amemaliza