Tuwe wakweli: Hivi Ntibazonkiza angekwepo kwenye mechi ya zalan asingetoka hata na asist kweli?

Hata kadi ya kidigitali huna alafu unadai kupigwa, although mchezaji hawezi kuwa mzuri kwako au mbaya kwa kukosa magoli.
 
Ni sababu zipi zimekufanya useme hivyo?
Naona kama ntibazonkiza alikuwa anapambana sana kupeleka mashambulizi mbele, kutengeneza nafasi na kufunga....Ila huyu K anapenda kukimbilia pembeni ambapo inakuwa ngumu kufunga au kutengeneza nafasi sababu wakati anakimbilia pembeni unakuta katikati kumesha blockiwa

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Angalia na position anayopangwa. Angalia mechi ya Simba vs Yanga baada ya kuwekwa nafasi sahihi je ali offer nini kwa timu.
 
Ni promo kubwa tu waliyompa,lakin uhalisia hana kiwango hicho.
Hawa vyura mchezaji kama konde boy cjui wangempa shilingi ngp?????
 
Kweli kwa Aziz k tumepigwa wanajangwani, Bora saidoo kuliko K.

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Tanzania kuna mashabiki wa mpira na kuna wanaoufahamu mpira wewe uko kwenye kundi la mashabiki wa mpira ambao asilimia kubwa awajui chochote juu ya mambo ya kiufundi bali wao wanachifurahia ni mchezaji kupiga chenga kufunga basi amemaliza
 
Tuambie wewe fundi, K anamchango gan kwenye timu ambao ungemzidi saidoo kama angekwepo

Back
Top Bottom