Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Nimeangalia picha na video za Kikao cha Mwisho cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo Ikulu cha Chamwino, Dodoma. Picha na video hizo zipo ukurasa rasmi wa Ofisi ya Rais Ikulu IG.
Niseme tu ukweli Ikulu na Chamwino haipendezi. Ukame wa Dodoma hasa miezi hii unaifanya isiwe na mvuto na muonekano mzuri. Mazingira yake hayavutii.
Sijui wafanye nini. Ila kwa sie wapenda mazingira mazuri tunaziona Ikulu za Dar na Arusha ( Ikulu Ndogo) zina mvuto sana tofauti na Ikulu ya Dodoma kutokana na Kijani kingi na miti mizuri kunakopendekezesha sana maeneo yake.
No Reform No Election ✊️ ✌️