matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Naona kila anapopangiwa hatulii. Atapambana kutafuta fursa na kujaribu kuconnect na watanzania wanaovutiwa. Nimeona matangazo yake huko Cuba anajitahidi.
Sijajua matokeo ya ubunifu wake lakini kwa mtazamo wangu wa kiraia anajitqhidi. Kuna wengine wakipangiwa ndio unasahau kama huyo mtu yupo duniani.
Nashauri Mh Rais aanze kujaribu vijana kwenye nafasi za balozi. Kwa sababu wanakuwa na malengo ya kukua watafanyq ubunifu na nchi itapiga hatua. Sio mara ya kwanza, Kama SAS aliwahi kuwa balozi wa Tanzania Misri akiwa na miaka 22, naamini hata leo wako wengi.
Vijana wajaribiwe katika hili pia.