Balozi Kairuki (China na UK)
View attachment 2730915
View attachment 2730916
View attachment 2730917
View attachment 2730918
Balozi Polepole (Cuba)
View attachment 2730919
View attachment 2730920
View attachment 2730921
Balozi mavura (Korea)
View attachment 2730922
View attachment 2730923
Balozi makocha (Indonesia)
View attachment 2730924
View attachment 2730925
Balozi aliyekuwepo Saudia
Hawa wana kitu watafika mbali...!
Ata ukiingia ktk IG za ubalozi una ona kuna kitu cha msaada kati ya nchi hizo za nchi yetu kwa raia wake kwa maswala yanayo wahusu
Polepole tangu akiwa malawi kafanya vizuri kwa kuunganisha fursa mbalimbali na raia wa tz kiuchumi nk
Ameenda Cuba tuna ona Cuba ina uhitaji wa bidhaa ambazo zinaweza patikana tz kama mafuta ya alzeti, walimu wa kiswahili, mashirikiano kt ya vyuo vya Cuba na vyetu na taasisi mbalimbali, kuongezeka uwekezaji hasa ktk mradi wa kiwanda cha kibaha
Huyu kairuki anajieleza... hawa wawekezaji wa cement ya kichina ni nguvu zake!
Mwakani mafundi uhashi wanaenda china kujifunza, ana mabalaaa huyu balozi
Huyu wa korea ni mpya lakini kazi anaipiga
Kuna kijana mwingine ndugu yake Ally Mayai tembele Ndg. Balozi Makocha huko Indonesia nae ni kijana mdogo ila kazi anaipiga wote hawa wametoka kwenye mzizi wenyewe hivyo ata kazi wanaipiga haswa na kwa kujiamini