Tuwe wakweli katika mabalozi wote wa Tanzania Polepole anajitahidi

Vizuri wakija kuombea urahisi watakuwa na uwigo mpana zaidi WA kututafutia fursa
 
Tumjaribu mtu wa kumlipa 10m kwa mwezi.
Haya mawazo ya kimasikini mkuu.
Mil 10 ni pesa ndogo sana katika dunia ya sasa. Kuna watu wanaipata kwa saa tu. Mfano mtoto mdogo kabisa Youtuber Ryan Kaji analipwa zaidi ya mil 100 kwa mwezi na Youtube.

Watafutwe vijana wenye uwezo na maono wachanganywe kwenye hao wastaafu na PHDs katika fursa za ubalozi. Dunia inakwenda kasi angalau vijana wadogo wenye akili changa wanaoendana na kasi wanaweza kuwa na msaada pia.
 
Huyo Ryan Kaji ni mtanzania?

10M nazungumzia kwa salary scale za serikali. Kwamba ni mdogo au kubwa.

Maana hata 100m unayoisemea kuwa ni kubwa nayo ni mdogo ukilinganisha na mshahara wa Ronaldo Saudi Arabia. Tusiende KWA style hii. Maana pia kuna wanaoingiza fedha kuliko Ronaldo.
 
Lengo ka waliomteua lilikuwa ni kumpoteza sio kuchakalika
 
hii!
 
Nimekupa mfano kwenye uzi. Salim Ahmed Salimu alipewa ubalozi akiwa na miaka 22. Kutokea hapo career yake ikakua na kuwa mwanadiplomasia mkubwa duniani. Kama iliwezekana miaka hiyo bado unawezekana hata leo.

Nimekupa huo mfano kuona unahofu na pesa. Huo mshahara sio kitu kulinganisha na hiki ninachokisema. Kama issue ni pesa kuna watoto wa dogo tu hata wa bongo hapa wakifundishwa niche flani online kama content creators wanaweza kuipata kwa siku moja tu sio lazima uwe ulaya.
 
Sana, nakumbuka enzi ya Magu.

uwajibishaji maDC na maDED kupitia Tv moja hivi nadhani (Channel ten); usiku saa tatu wanapigiwa simu kuelezea vilio vya wananchi.

Itachukua miaka mingi kurejea uongozi huo.
Alafu CCM walivyowajinga wakaacha ile segment wakati ilikuwa inawabeba na kuwafanya Wananchi waiamini CCM!
 
Alafu CCM walivyowajinga wakaacha ile segment wakati ilikuwa inawabeba na kuwafanya Wananchi waiamini CCM!
Sijui kwanini waliachana nayo badala ya kuiendeleza hadi huko BBC na Aljazeera wawaone.
 
Sana, nakumbuka enzi ya Magu.

uwajibishaji maDC na maDED kupitia Tv moja hivi nadhani (Channel ten); usiku saa tatu wanapigiwa simu kuelezea vilio vya wananchi.

Itachukua miaka mingi kurejea uongozi huo.
Huo sio uongozi endelevu wa nchi, nchi inatakiwa kuongozwa kimfumo kuliko one man show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…