Tuwe wakweli, kila mwanamke ana utamu wake

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Tuwe waaminifu, tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi.

Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote nyama ni ileile sio kweli..nyama ni tofauti.

Nakumbuka Sophia alinionya nisimtongoze mate wake,kila nikimuuliza sababu hataki kusema. Siku moja akanitolea uvivu akaniambia Aisha ni mtamu sana, ameshavunja ndoa nyingi tu kwa sababu ya utamu wake. Akasema akikupa penzi huwezi kudhubutu kumuacha.

UKIMWIupo kazini wakuu tuache uzinzi
 
Mkuu hiyo ni kauli tu ya kutaka kujiaminisha utamu ni ule ule kitu ambacho hakina ukweli wowote na naamini hata kwa KE pia hali ni hiyo hiyo. Hata kwenye bucha Mkuu Nyama ya bucha la mchagga si sawa na ya bucha la mshihiri 😜😜
Tuwe waaminifu,tuheshimu ndoa zetu na hofu ya Mungu ni muhimu. Vitabu vya dini zote vimekemea uzinzi.
Ila ukweli ni kwamba kila mwanamke ana ladha yake tofauti.Kusema kwamba utamaliza bucha zote nyama ni ileile sio kweli..nyama ni tofauti.
Ukimwi upo kazini wakuu tuache uzinzi
 
Dah we acha tu, kuna demu mmoja hv mtu wa Mara huko Mkurya nilisema nipite nionje la haula mpk sasa sijafuta namba yake.... hapo sijamtaja yule beki tatu wa jirani yangu ni mchaga mtamu balaa! Sijui hata tufanyaje na umri unanitupa mkono [emoji26][emoji26][emoji26]
 
Waoe wote 😜

Ni kweli kabisa.
Ni kama wanaume tu, kila mwanaume na ladha yake na manjonjo yake.
 
Back
Top Bottom