Tuwe wakweli kocha Nabi hana mbinu za mechi za kimataifa. Rekodi zinaongea.

Umezikumbuka Zanaco na Rivers ukaisahau Zalan ili uaminishe watu NABI hajashinda mechi yoyote ya kimaifa akiwa na Yanga.
Uandishi wa aina hii haukubaliki ni uandishi wa kiafande RAMA kabisa huu.
 
Yale yale ya Chama Baleke na uzi wake wa Mayele na Kibu. [emoji23][emoji23]

Makolo wana matatizo sana aisee.
Mungu fundi sana, walikuwa na nyimbo zao wenyewe kuwa Yanga wanashinda kwa bahasha sana, ngoja waende kimataifa wakaumbuke. Ila cha ajabu timu ipo hatua moja kucheza nusu fainali, wamehamia kwenye timu za shirikisho ni mbovu. Yaani kama ikitokea tumebeba hili kombe, yaani watakuwa wamepigwa KO ya kibabe sana. Virekodi vyao vya tuli tuli zote tutakuwa tumezifuta. Cha ajabu rekodi yenye ya tuli tuli ni kuisindikiza wsnzao tu.

Kingine tukibeba kombe yule anayelipwa milioni nne halafu anakula ugali na sukari kama masharti ya mganga nae atakuwa kapoteza pa kubwa sana kwenye historia yake ya mpira. Hatokuwa na furaha kamwe moyoni.
 
Tuwazoee tu hawa ni kundi maalumu
 
Hii aya ya mwisho inafikirisha sana.
 
Hakika Mkuu.
Kingine tukibeba kombe yule anayelipwa milioni nne halafu anakula ugali na sukari kama masharti ya mganga nae atakuwa kapoteza pa kubwa sana kwenye historia yake ya mpira. Hatokuwa na furaha kamwe moyoni.
Ako kajamaa mpaka sasa kwa hatua tuliyofikia kanajuta kuifahamu Yanga na kameshajua kuwa bila yeye Kikosi cha Timu ya Wananchi kinaweza fanya chochote.

Sababu mwanzoni kalishaanzaga kujiona kenyewe ndo kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…