Mungu fundi sana, walikuwa na nyimbo zao wenyewe kuwa Yanga wanashinda kwa bahasha sana, ngoja waende kimataifa wakaumbuke. Ila cha ajabu timu ipo hatua moja kucheza nusu fainali, wamehamia kwenye timu za shirikisho ni mbovu. Yaani kama ikitokea tumebeba hili kombe, yaani watakuwa wamepigwa KO ya kibabe sana. Virekodi vyao vya tuli tuli zote tutakuwa tumezifuta. Cha ajabu rekodi yenye ya tuli tuli ni kuisindikiza wsnzao tu.
Kingine tukibeba kombe yule anayelipwa milioni nne halafu anakula ugali na sukari kama masharti ya mganga nae atakuwa kapoteza pa kubwa sana kwenye historia yake ya mpira. Hatokuwa na furaha kamwe moyoni.