NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.
JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.