Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Huu muungano fake binafsi nauchukia kupita kiasi
 
mada kuhusu muungano zinapata kasi ya ajabu, this is very good, soon we might see the best ending of this rubbish.
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Kama hivyo ndivyo kwa Nini Sasa hivi ukiambiwa Ukraine na uviko 19,Ukame vimesababisha maisha magumu unabisha na kuwa na lawama?

Ni Tanzania pekee ndio ilikumbwa na Mambo ya Vita baridi?

Hakuna excuses yenye mashiko,huyo huyo alichukua rasilimali zetu' na wana wa Tanganyika kwenda kuwapigania Nchi za watu bila faida Wala fidia tuliyopata..

Hizo rasilimali Leo hii zingewekezwa Nchini tungekuwa mbali Sana kiuchumi.
 
Zanzibar Wana nn cha ajabu ? Waacheni msifike kabisa yaani mshajua tabia za watu bado mnawafuata tu ..Mi Zanzibar na kanda ya kaskazini ni mwiko kufika wanajisikia sana japo nishafika ila nikawajua tabia zao yaani wanafanana wakikujua tu unatoka nje wa jamii zao umeisha.
Ukioleana nao sasa!! utapata ajira/misaada ya hali na mali utapata!! lkn kama endapo utamuacha mwenza wako huyo!! kwa sababu unazo zijua weye...kwa vyoyvyote vile watakufukuza kazi kimyakimaya km hawakujui!

kubebbana ndo zao lkn uwatunzie mtu wao kwa faid Ya watoto wao!! utake usitake!! km ukitajirika watakupa kila aina ya msaada hata mikopo kwenye Mabenki makubwa ya Kidunia!!

wakiachana wao kwa wao haina shida!!...cha kufanya unaacha mtoto wao unachukua wa kwao mwingine ukoo mwengine!! utabaki salama!
 
Ni ardhi ya tanzania ila nashangaa kuwa nchi hiyo hata mkoa wa sengerema ni mkubwa
 
Nyerere atuletee majeshi yake halafu yauwe watu kwa maelfu baadaye atuwekee kiongozi anayekubalika Dodoma
Nani zaidi, kati ya Waarabu na serikali ya Nyerere???, waarabu weupe, wajukuu zetu hawataki hatakulijua hili, wana roho mbaya mpaka leo, walikuwa wana ua waafrica weusi kwa kujifurahisha tu, mbona hamuwasemi??...

waliwauza utumwani kma Mbuzi, mizanzibar myeusi mkifurahiaaaa! hili asee najiuzuru!...mlipaswa kujisikia aibu sana kwa vitendo vya kinyama km vile!! Nyerere alizuia hiyo hali! ikibidi kwa damu!

eti mnamuona mubaya!! .......Muarabu atoke Oman kuja kutawala A.kusini mwa jangwa la Sahara wapi na wapi?? chagua moja ukae kwa kutulia au uende Oman!! Zanzibar ni mali ya wabara! Mama yeu huyo hapo!

anapiga kazi msituchezee ivo! nitaanza na wewe!
 
Huyu wa baraaa huyooo... achanane naeeee... wazanzibari wengi ni wavivu mno wanapenda kaz laini laini sana.. wa bara tukienda kule hulalamika tutawachukulia ajira zao
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Binafsi nakubaliana nawe, ila pia naelewa namna Muungano ulivyo hivi tunalipa gharama za ulinzi wetu kwa Zanzibar. Duniani kote hakuna Muungano wa muundo huu. Niseme tu kuwa muundo huu tuliubuni wenyewe.

Kama Zanzibar ingekuwa huru basi Tanganyika tusingekuwa tulivu. Rejea visa vya Taiwan na Uchina, Cuba na Marekani, Cyprus na Uturuki. Wazee wetu walitumia busara kubwa kabisa kuichukua Zanzibar (japo si kama tukivyotaka).

Wao walianzisha huu mchakato wa kuichukua Zanzibar ni juu yetu kuumaliza.

Kamwe hatuwezi ruhusu kisiwa kikiwa kama ‘independent entity’ maili 70 tu toka kwenye jiji letu kuu la kibiashara.

Na Zanzibar wakati ule walituhitaji sana kulinda Mapinduzi yao matukufu, bila ya kuungana nasi sina shaka Zanzibar ingekuwa chini ya Utawala nduguze Sultan Jamshid.

Ila pia nikiri wazi tunalipa gharama kubwa sana kwa usalama wetu, ni wakati sasa Zanzibar iwe sehemu kamili ya nchi yetu.
 
Nani zaidi, kati ya Waarabu na serikali ya Nyerere???, waarabu weupe, wajukuu zetu hawataki hatakulijua hili, wana roho mbaya mpaka leo, walikuwa wana ua waafrica weusi kwa kujifurahisha tu, mbona hamuwasemi??...

waliwauza utumwani kma Mbuzi, mizanzibar myeusi mkifurahiaaaa! hili asee najiuzuru!...mlipaswa kujisikia aibu sana kwa vitendo vya kinyama km vile!! Nyerere alizuia hiyo hali! ikibidi kwa damu!

eti mnamuona mubaya!! .......Muarabu atoke Oman kuja kutawala A.kusini mwa jangwa la Sahara wapi na wapi?? chagua moja ukae kwa kutulia au uende Oman!! Zanzibar ni mali ya wabara! Mama yeu huyo hapo!

anapiga kazi msituchezee ivo! nitaanza na wewe!
Nafurahi nikiona wazanzibari tumepakaa Tanganyika nzima kuanzia serikalini mpaka kwenye mabiashara huku Zanzibar ikiwa chini wazanzibari.
 
Nani zaidi, kati ya Waarabu na serikali ya Nyerere???, waarabu weupe, wajukuu zetu hawataki hatakulijua hili, wana roho mbaya mpaka leo, walikuwa wana ua waafrica weusi kwa kujifurahisha tu, mbona hamuwasemi??...

waliwauza utumwani kma Mbuzi, mizanzibar myeusi mkifurahiaaaa! hili asee najiuzuru!...mlipaswa kujisikia aibu sana kwa vitendo vya kinyama km vile!! Nyerere alizuia hiyo hali! ikibidi kwa damu!

eti mnamuona mubaya!! .......Muarabu atoke Oman kuja kutawala A.kusini mwa jangwa la Sahara wapi na wapi?? chagua moja ukae kwa kutulia au uende Oman!! Zanzibar ni mali ya wabara! Mama yeu huyo hapo!

anapiga kazi msituchezee ivo! nitaanza na wewe!

Nitajie muafrika mmoja aliuwawa na mwarabu.

Niambie Nani aliuzwa na Jemshid au baba yake?

Nyerere alimuuwa mwafrika , Karume, Hänga, Mdungi Usi, Jaha Ubwa , Othman Sharifu, Na waafrika wengi aliowaweka mwenyewe madarakani
 
Nani zaidi, kati ya Waarabu na serikali ya Nyerere???, waarabu weupe, wajukuu zetu hawataki hatakulijua hili, wana roho mbaya mpaka leo, walikuwa wana ua waafrica weusi kwa kujifurahisha tu, mbona hamuwasemi??...

waliwauza utumwani kma Mbuzi, mizanzibar myeusi mkifurahiaaaa! hili asee najiuzuru!...mlipaswa kujisikia aibu sana kwa vitendo vya kinyama km vile!! Nyerere alizuia hiyo hali! ikibidi kwa damu!

eti mnamuona mubaya!! .......Muarabu atoke Oman kuja kutawala A.kusini mwa jangwa la Sahara wapi na wapi?? chagua moja ukae kwa kutulia au uende Oman!! Zanzibar ni mali ya wabara! Mama yeu huyo hapo!

anapiga kazi msituchezee ivo! nitaanza na wewe!
Uyo nyerere hana alichofanya zaidi ya kuuwa wazanzibari
 
Binafsi nakubaliana nawe, ila pia naelewa namna Muungano ulivyo hivi tunalipa gharama za ulinzi wetu kwa Zanzibar. Duniani kote hakuna Muungano wa muundo huu. Niseme tu kuwa muundo huu tuliubuni wenyewe.

Kama Zanzibar ingekuwa huru basi Tanganyika tusingekuwa tulivu. Rejea visa vya Taiwan na Uchina, Cuba na Marekani, Cyprus na Uturuki. Wazee wetu walitumia busara kubwa kabisa kuichukua Zanzibar (japo si kama tukivyotaka).

Wao walianzisha huu mchakato wa kuichukua Zanzibar ni juu yetu kuumaliza.

Kamwe hatuwezi ruhusu kisiwa kikiwa kama ‘independent entity’ maili 70 tu toka kwenye jiji letu kuu la kibiashara.

Na Zanzibar wakati ule walituhitaji sana kulinda Mapinduzi yao matukufu, bila ya kuungana nasi sina shaka Zanzibar ingekuwa chini ya Utawala nduguze Sultan Jamshid.

Ila pia nikiri wazi tunalipa gharama kubwa sana kwa usalama wetu, ni wakati sasa Zanzibar iwe sehemu kamili ya nchi yetu.

Kwani lini Tanganyika haikuwa tulivu kwa sababu ya Zanzibar ?
 
Nani zaidi, kati ya Waarabu na serikali ya Nyerere???, waarabu weupe, wajukuu zetu hawataki hatakulijua hili, wana roho mbaya mpaka leo, walikuwa wana ua waafrica weusi kwa kujifurahisha tu, mbona hamuwasemi??...

waliwauza utumwani kma Mbuzi, mizanzibar myeusi mkifurahiaaaa! hili asee najiuzuru!...mlipaswa kujisikia aibu sana kwa vitendo vya kinyama km vile!! Nyerere alizuia hiyo hali! ikibidi kwa damu!

eti mnamuona mubaya!! .......Muarabu atoke Oman kuja kutawala A.kusini mwa jangwa la Sahara wapi na wapi?? chagua moja ukae kwa kutulia au uende Oman!! Zanzibar ni mali ya wabara! Mama yeu huyo hapo!

anapiga kazi msituchezee ivo! nitaanza na wewe!

Biashara ya utumwa ilifanywa na mkoloni muingereza . Na yeye alipoona haina faida tena baada ya Mapinduzi ya viwanda akaisimamisha.
Makanisa ndiyo yalikuwa Vinara wa biashara hii
 
Kwani lini Tanganyika haikuwa tulivu kwa sababu ya Zanzibar ?
Haijawahi kosa utulivu sababu ya Zanzibar.

Lakini ukitazama hali ya kisiasa na Diplomasia haikuwa shwari, hivyo watu wetu wa Usalama waliliona hilo wakashauri hatua zichukuliwe mapema kuzuia hayo yaliyotazamiwa kutokea.

Na vivyo hivyo ndivyo hali ilivyokuwa kwa Zanzibar, nchi ilikuwa changa na kulikuw ana hatari Mapinduzi kupinduliwa na wao kuungana na Tanganyika ilikuwa ni hatua muhimu kulinda mapinduzi yao.

Na ndiyo maana Mchakato mzima ulifanywa kwa haraka hataka kiasi baadhi ya vipengele havikujadiliwa, achilia mbali hati ya Muungano.
 
Back
Top Bottom