Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Kosa kubwa la Nyerere ni kuipa mamlaka Zanzibar ilitakiwa kumezwa mapema. Hili kosa kuna cku litasawazishwa tu Kama India ilivyofanya pale Kashmir
 
Haijawahi kosa utulivu sababu ya Zanzibar.

Lakini ukitazama hali ya kisiasa na Diplomasia haikuwa shwari, hivyo watu wetu wa Usalama waliliona hilo wakashauri hatua zichukuliwe mapema kuzuia hayo yaliyotazamiwa kutokea.

Na vivyo hivyo ndivyo hali ilivyokuwa kwa Zanzibar, nchi ilikuwa changa na kulikuw ana hatari Mapinduzi kupinduliwa na wao kuungana na Tanganyika ilikuwa ni hatua muhimu kulinda mapinduzi yao.

Na ndiyo maana Mchakato mzima ulifanywa kwa haraka hataka kiasi baadhi ya vipengele havikujadiliwa, achilia mbali hati ya Muungano.
Nyerere ndiye aliyevamia na kuuwa watu kwa maelfu. Lengo ni kuupiga vita uislamu. Hii si siri ushahidi upo
 
Kosa kubwa la Nyerere ni kuipa mamlaka Zanzibar ilitakiwa kumezwa mapema. Hili kosa kuna cku litasawazishwa tu Kama India ilivyofanya pale Kashmir
Kwani Kashmir kosa limesawazishwa? Angalia wanavyotandikwa na mchina , Karma inafanya kazi
 
Nyerere ndiye aliyevamia na kuuwa watu kwa maelfu. Lengo ni kuupiga vita uislamu. Hii si siri ushahidi upo
Simtetei mwalimu, na Sipingi kutokea kwa hayo unayoyadai.

Lakini katika uongozi wa nchi hayo hutokea.
 
Simtetei mwalimu, na Sipingi kutokea kwa hayo unayoyadai.

Lakini katika uongozi wa nchi hayo hutokea.

Yaani ni sawa Nyerere kuvamia Zanzibar ili kuupiga vita uislamu kwa sababu kama ulivyoandika katika uongozi hayo hutokea ?
 
Kwa nini hao "watu wetu wa usalama" waliiua Tanganyika yetu ikabaki Zanzibar tu??
Isingewezekana kubaki na Tanganyika yetu na sisi tukawa kama Zanzibar walivyo na serikali yao??
Haijawahi kosa utulivu sababu ya Zanzibar.

Lakini ukitazama hali ya kisiasa na Diplomasia haikuwa shwari, hivyo watu wetu wa Usalama waliliona hilo wakashauri hatua zichukuliwe mapema kuzuia hayo yaliyotazamiwa kutokea.

Na vivyo hivyo ndivyo hali ilivyokuwa kwa Zanzibar, nchi ilikuwa changa na kulikuw ana hatari Mapinduzi kupinduliwa na wao kuungana na Tanganyika ilikuwa ni hatua muhimu kulinda mapinduzi yao.

Na ndiyo maana Mchakato mzima ulifanywa kwa haraka hataka kiasi baadhi ya vipengele havikujadiliwa, achilia mbali hati ya Muungano.
 
Comoros, Mauritius, Cape Verde na Sao Tome vyote ni visiwa huru na havina kitisho cha usalama kwa mataifa yaliyo karibu yake.
Binafsi nakubaliana nawe, ila pia naelewa namna Muungano ulivyo hivi tunalipa gharama za ulinzi wetu kwa Zanzibar. Duniani kote hakuna Muungano wa muundo huu. Niseme tu kuwa muundo huu tuliubuni wenyewe.

Kama Zanzibar ingekuwa huru basi Tanganyika tusingekuwa tulivu. Rejea visa vya Taiwan na Uchina, Cuba na Marekani, Cyprus na Uturuki. Wazee wetu walitumia busara kubwa kabisa kuichukua Zanzibar (japo si kama tukivyotaka).

Wao walianzisha huu mchakato wa kuichukua Zanzibar ni juu yetu kuumaliza.

Kamwe hatuwezi ruhusu kisiwa kikiwa kama ‘independent entity’ maili 70 tu toka kwenye jiji letu kuu la kibiashara.

Na Zanzibar wakati ule walituhitaji sana kulinda Mapinduzi yao matukufu, bila ya kuungana nasi sina shaka Zanzibar ingekuwa chini ya Utawala nduguze Sultan Jamshid.

Ila pia nikiri wazi tunalipa gharama kubwa sana kwa usalama wetu, ni wakati sasa Zanzibar iwe sehemu kamili ya nchi yetu.
 
Zanzibar ingekua base ya waislam na afrika mashariki, Tanganyika ikiwemo,isingekua salama

mbona comoro haikuwa base ya waislamu ? mbona tanzania bara kuna jeshi la wokovu na hakuna jeshi la waislamu halafu mmetuwekea bakwata kutunyamazisha na kuumaliza uislamu kupitia bakwata
 
serikali ingeamua wazazibari wanaomiliki nyumba na mashamba na maduka bara, wawe na kibali maaluum na wawekwe kama diaspora na malipo yao yawe tofauti ni mtu wa bara na awe na limit ya kumiliki kitu kama ni nyumba basi awe nayo moja tu haruhusiwi zaidi
 
Haijawahi kosa utulivu sababu ya Zanzibar.

Lakini ukitazama hali ya kisiasa na Diplomasia haikuwa shwari, hivyo watu wetu wa Usalama waliliona hilo wakashauri hatua zichukuliwe mapema kuzuia hayo yaliyotazamiwa kutokea.

Na vivyo hivyo ndivyo hali ilivyokuwa kwa Zanzibar, nchi ilikuwa changa na kulikuw ana hatari Mapinduzi kupinduliwa na wao kuungana na Tanganyika ilikuwa ni hatua muhimu kulinda mapinduzi yao.

Na ndiyo maana Mchakato mzima ulifanywa kwa haraka hataka kiasi baadhi ya vipengele havikujadiliwa, achilia mbali hati ya Muungano.
Nyerere alikuwa na malengo ya Kanisa lake ya kazi ya kuupiga vita Uislamu. Ndiyo akavamia Zanzibar kwa kisingizio cha Mapinduzi na Muungano.
 
Uyo nyerere hana alichofanya zaidi ya kuuwa wazanzibari

nyerere ndio mbaya sana katika binadamu wote kuliko hata farao nyerere kataifisha majumba ya watu na kuandika NHC nyumba zimejengwa 1918 na wahindi na waarabu enzi za ukoloni nyerere hajazaliwa kaja kudhulumu watu wamekufa kwa presha ya kuzulumiwa nyumba zao zingine za ghorofa 6 na mashule,leo mtanzania kibada chake kikivunjwa ajili ya kupitisha barabara kilio kikubwa na kuilaani serikali lakini waliodhulumiwa maghorofa na mashule mnafurahia halafu anataka kufanywa mtukufu laana tulahi aleikum
 
Simtetei mwalimu, na Sipingi kutokea kwa hayo unayoyadai.

Lakini katika uongozi wa nchi hayo hutokea.

MJADALA unaendelea nchini kote juu ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika na muundo wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika. Inavyoelekea yapo matatizo, dosari na sababu za msingi zilizopelekea wananchi kuhoji muundo wa sasa wa Muungano na kuleta hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika ni yenye kuundwa kama si leo kesho.

Lakini wapo pia wanaopinga kabisa kuundwa kwa serikali ya Tanganyika.

Aliyejitokeza kwa nguvu na kwa ukali hadharani kupinga hoja hiyo ni Mwalimu Julius Nyerere, katika kupinga hoja hiyo Mwalimu anatoa hoja zifuatazo:

Hoja ya kuundwa kwa serikali ya Tanganyika imeletwa kwa kuwachoka Wazanzibari na Waislamu. Ufupi wa maneno Mwalimu Nyerere anadai hoja ya kuundwa Serikali ya Tanganyika imetokana na chuki za kidini - Wakristo kuwachukia Waislamu.

Hoja haipo katika sera za CCM na taratibu zimekosewa.

Kuundwa kwa serikali ya Tanganyika kutavunja Muungano na kutavunja Tanganyika pia.

Ukizingatia sifa nyingi ambazo Nyerere alijilimbikizia wakati wa utawala wake na sasa si vigumu kuelewa kwa nini anapinga kuundwa kwa serikali ya Tanganyika. Mambo yake yote aliyoyaanzisha kwa vishindo huku akisifiwa kuwa zidumu fikra zake, yamekuwa yakiporomoka moja baada ya jingine huku mwenyewe akiona. Lililosalia ni Muungano; nao ukiporomoka haitaleta picha nzuri katika historia yake katika siasa.

Lakini lililo gumu kueleweka ni hatua ya Mwalimu Nyerere kutumia Turufu ya udini kuwagawa Wabunge; wana-CCM na Wa-Tanzania kwa ujumla katika suala hili. Kauli hiyo ingesemwa na Muislamu ingepewa mtizamo tofauti na labda isingeeleweka hasa miongoni mwa Waislamu. Lakini kusemwa na Mwalimu Nyerere kunaleta mkanganyiko zaidi. Kwanini; (udini ulikuwa umejengeka). Hali hiyo ilipelekea Masheikh kumlalamikia lakini akawanyamazisha kwa kuwashutumu kuwa wanachanganya dini na siasa. Miongoni mwa Masheikh hao wapo waliofukuzwa nchini; waliowekwa kizuizini, waliofukuzwa katika chama na kadhalika.

Sheikh Hassan bin Amir katika waraka wake kwa Waislamu mwaka 1963 aliutaja udini uliokuwa unajengwa Tanzania kwa kutoa mifano ifuatayo:

Kuingizwa nchini Tanganyika mara tu baada ya uhuru vimedali vidogo vidogo vyenye picha ya bendera ya Tanganyika usoni na katikati ya bendera hiyo amesimama Mama Maria na mtoto mchanga na nyuma yake maandiko 'MARIA MTAKATIFU ULINDE UHURU WA TANGANYIKA'.

Gazeti la KIONGOZI la tarehe 1/8/1963 lilimuonyesha Bwana George Kahama akipewa cheo cha dini na Pope kwa kuwakilisha serikali ya Tanganyika katika mkutano wa Makanisa ya Roma.

Mwaka huo huo wa 1963, mnamo tarehe 24 mwezi wa nane, Baraza Kuu la Makanisa ya Kilutheri Tanganyika lilitoa matangazo kuwa Uhuru wa Tanganyika ulikuwa 'Chini ya Msalaba'.

Tarehe 17/5/1963 Makanisa yalifanyia mkutano wao ndani ya Bunge.

Alipokufa Pope Yohana wa 23 bendera ya taifa ilipepea nusu mlingoti nchi nzima!

Kabla ya kifo chake Pope Yohana wa 23 alimletea Mheshimiwa Nyerere barua ya pongezi kwa kuupanua Ukristo- barua ambayo ilitiwa saini na Pope mwenyewe. Barua hiyo imetangazwa kwenye gazeti la Tanganyika Standard.

Gazeti la Reporter la Kenya la tarehe 20/6/1963 lilitangaza katika ukurasa wake wa mbele: "KUIBADILI AFRIKA YA MASHARIKI KUWA KATIKA DINI YA ROMANI CATHOLIC". Ndani ya gazeti hilo ukurasa wa 18 liliwataja waliopewa dhamana ya kufanikisha jambo hilo kuwa ni: Uganda - Kiwanuka, Kenya - Mboya na Tanganyika Mheshimiwa Nyerere.
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Hiyo Zanzibar inayoongelewa hapa ukubwa wake hata mkoa wa Pwani pengine umeizidi.

Kuna mambo ya kijinga na yenye kukera lakini kama eneo tulilonalo huku bara ni kubwa sana kwanini tuhangaishane na visiwa hivi vyenye watu milioni moja na nusu?.

Mkubwa huwa na uwezo wa kusamehe.
 
mbona comoro haikuwa base ya waislamu ? mbona tanzania bara kuna jeshi la wokovu na hakuna jeshi la waislamu halafu mmetuwekea bakwata kutunyamazisha na kuumaliza uislamu kupitia bakwata
Comoro mbali
 
Zanzibar Wana nn cha ajabu ? Waacheni msifike kabisa yaani mshajua tabia za watu bado mnawafuata tu ..Mi Zanzibar na kanda ya kaskazini ni mwiko kufika wanajisikia sana japo nishafika ila nikawajua tabia zao yaani wanafanana wakikujua tu unatoka nje wa jamii zao umeisha.
Wale ni ndugu zako katika Imaaaaaan Sheikh.....

Kumbe na nyie ndugu wa imani mnabaguana?

Si mnasemaga muislam ndugu yake muislam, imekuwaje tena??
 
Back
Top Bottom