Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba..
Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji,
Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao
Jkt wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza jkt pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda suma jkt kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, Kwa wazanzibari yani kumaliza jkt ni shavu.
Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa
Wewe Itakuwa uko sayari ya Vatikan , yaani Nyerere atuletee majeshi yake halafu yauwe watu kwa maelfu baadaye atuwekee kiongozi anayekubalika Dodoma kila baada ya miaka mitano huku akiendelea kuleta jeshi na kuuwa watu. Huku ndio kuisaidia Zanzibar ?
By the way anzeni kuliondosha jeshi lenu ambalo limeweka kambi kila mtaa.