Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba..

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji,

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao

Jkt wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza jkt pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda suma jkt kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, Kwa wazanzibari yani kumaliza jkt ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa

Wewe Itakuwa uko sayari ya Vatikan , yaani Nyerere atuletee majeshi yake halafu yauwe watu kwa maelfu baadaye atuwekee kiongozi anayekubalika Dodoma kila baada ya miaka mitano huku akiendelea kuleta jeshi na kuuwa watu. Huku ndio kuisaidia Zanzibar ?

By the way anzeni kuliondosha jeshi lenu ambalo limeweka kambi kila mtaa.
 
Kilichobaki sasa ni mzigo tu,

Imagine mzanzibar kazaliwa hapa bara na kakulia bara ila kwavile ni mzanzibari hata kwenye ajira anapewa kipaumbele kuzidi mtu wa bara waliesoma nae hapa hapa bara.
Wengi mnaiba na kufoji mitihani
 
Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
Kwani utalii ni suala la muungano ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwani utalii ni suala la muungano ?

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app

Ndiyo kwa namna moja au nyingine mfano visa fee tu kwa kila mtalii inaenda Serikali kuu bado kuna ndege zinazoleta watalii taxes hizo ndege zinazolipa na mambo mengine mengi tu Serikali kuu inanufaika na Watalii wanaokwenda Zanzibar.

Kuna ndege zinakuja tu Tanzania kwa sababu ya Zanzibar, …
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba..

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji,

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao

Jkt wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza jkt pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda suma jkt kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, Kwa wazanzibari yani kumaliza jkt ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa
Acha fitna !
 
Na gia zinavyobadilishwa angani huko wallahi bin Taabana Tanganyika tutaisoma Namba.

Wazanzibari wanatuchukia kwa nguvu zote na kutubagua kwa maksuidi tukiwa huko Zenji.

Ajira za serikali za Zanzibar inabidi uwe mzanzibari na ukilazimisha kuomba watabaki kukushangaa kwenye interview umeenda kufanya nini, wao wanaomba kote kote za huku bara tunazogawana nao na huko kwao kwajili ya peke yao.

JKT wabara wakimaliza mafunzo ni ngumu sana kupenya idara za ulinzi ila Zanzibar wananynyekewa sana kuingizwa idara za ulinzi, wabara wengi wanamaliza JKT pale wanarudi kulima vijijini ama kwenda Suma JKT kupokea mishahara ya laki 2, wachache sana wanatoboa kwenda idara za ulinzi, kwa Wazanzibari yani kumaliza JKT ni shavu.

Ardhi, leseni za udereva, siasa, n.k, mavyo vishazungumziwa sana kuhusu tabia ya vyao kutoguswa.
Nadhani unachanganya mambo.

Kichwa cha mada na yaliyomo ndani ya mada hayaendani kabisa.

Nyerere hakuagiza hayo unayozungumzia humo kwenye mada yako, na wala haikuwekwa mahali popote kuwa haya yanayofanyika leo ndivyo muungano ulivyopashwa kuwa.
Muungano ulipashwa kuboreshwa kadri ya sehemu mbili zilivyoendelea kuzoeana na kuaminiana. Kwa hiyo ilikuwa ni kazi endelevu.
Sasa, kama CCM ya leo inaona njia nzuri ya kuendelea kuwa na muungano ni kuwahonga wazanzibar kila wanalodai, hiyo lawama usimpe Nyerere, elekeza lawama zako kwa hawa CCM na viongozi wao waliopo leo.

Ni viongozi wasiokuwa na ushawishi wowote, wala uwezo wa kuelezea wananchi mambo yanayopashwa kutendeka ili kuimarisha muungano, badala yake wanaona kazi iliyo rahisi ni kupoza wazanzibar, tena wachache wenye kelele nyingi, kwa kukubali madai yao mengi, hata madai yanayodhoofisha muungano.

Matokeo yake ndiyo haya unayolalamikia wewe leo hii.
 
Zanzibar huo Muungano wenu hatuutaki
Ni kazi rahisi, kama hamtaki muungano wa hiari, wenye usawa, ni kazi rahisi sana kuwafanya koloni kwa lazima. Nini mta'do'!
Oman hawezi kuja kuwakomboa.
 
Haya mambo ya kuwabeba Wazanzibari yaishe .

Tushindanishwe kwa weledi na sio vinginevyo.
Ni CCM wanaofaidika na hali ya muungano ilivyo sasa, kwa hiyo hawawezi kubadili kitu.
 
Hayo ni kati ya makosa mengi ya Nyerere.
Suala la Muungano na kuuimarisha siyo jambo la kulichekea chekea, waanzisha chokochoko wote ilistahili washughulikiwe kwa uzito unaostahili, kwa waliopo bara na visiwani, nadhani ipo haja ya TISS, kiwepo kitengo ndani yake kitakachokuwa na kazi maalumu ya kuhakikisha hakuna kiumbe chochote miongoni mwetu akaleta nyoko, ikiwemo kuuimarisha zaidi kuendana na wakati huu na ujao na miaka 200 ijayo, ikiwemo kuondoa nyaraka/docs zote zenye kuongeza chuki au kupanda chuki kwa vizazi kupenyeza docs za upendo umoja na utaifa.
 
Sikutalajia ujinga huu kuandikwa na wewe, hivi vikosi vya kutesa na kupoteza watu Ruto amekifuta na watu wanapelekwa mahakamani, wewe ndio unataka huu ushetani uletwe Tanzania?
 
Sikutalajia ujinga huu kuandikwa na wewe, hivi vikosi vya kutesa na kupoteza watu Ruto amekifuta na watu wanapelekwa mahakamani, wewe ndio unataka huu ushetani uletwe Tanzania?
Sikupendekeza kutesana nilichosema ni suala hili lisogezwe kwa chombo maalumu, kujaribu kuuimarisha zaidi, kuondoa vijarida vinavyopinga au kuuteta vibaya, to buildup new mentality!, kuondosha akili za wakongwe miongoni mwa vijana. To buildup new generations itakayokuwa inauenzi Muungano wetu.
 
Back
Top Bottom