Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

Kikubwa, na ambacho ulitaka kunena, ni kumdhihaki J.K. Nyerere.

Utaishiwa.

Wacha Uhasama.
 
J
Dawa ni iyo katiba mpya
 
Umesahau ya Jumbe na Sefu?
 
Kwa nini hao "watu wetu wa usalama" waliiua Tanganyika yetu ikabaki Zanzibar tu??
Isingewezekana kubaki na Tanganyika yetu na sisi tukawa kama Zanzibar walivyo na serikali yao??
Kama nilivyosema mchakato ulikuwa ni wa haraka haikuwa rahisi kuunda Muungano wenye muundo ambao ungetupa Serikali yetu na kuwapa Zanzibar serikali yao, muda haukuruhusu.

Vilevile mkuu Muundo unaoupendekeza ni Shirikisho, muundo huo bila shaka ungetunyima (waTanganyika) mamlaka makubwa tuliyonayo kwa Zanzibar na ili kuunda muda usingetosha kujadili sekta na masuala gani yashughulikiwe katika ngazi ya shirikisho au yepi yashughulikiwe katika ngazi ya kitaifa.

Na kwahivyo hali ya wasiwasi iliyowakumba wana Mapinduzi wa Zanzibar isingepata suluhu kwa muundo huo mkuu.
 
Comoros, Mauritius, Cape Verde na Sao Tome vyote ni visiwa huru na havina kitisho cha usalama kwa mataifa yaliyo karibu yake.
Si kweli mkuu, unaona havina kitisho cha usalama kutokana na hali tulivu ya kisiasa ya sasa. Lakini unapojiandaa na vita basi wakati wa amani ndiyo wakati sahihi kupanga mipango yote.

Hivyo unavyoviona salama hii leo vinaweza tumika na kuwa kuwa ‘decisive factor’ wakati wa vita.

Leo hii Ufaransa ana kisiwa cha Mayotte, ambacho kii karibu na visiwa ulivyovitaja hiyo ina maana ya kuwa lolote likitokea Ufaransa ana pa kuanzia.

Kwa kulijua hilo Comoro wanadai kisiwa hiko kila leo.

Hapo Madagascar India wanajenga moja ya kambi kubwa ya kijeshi, vipi hilo bado halikai kama tishio mkuu?

Uchina mbali na kuwa na nchi kubwa lakini bado anadai Taiwan, na anajenga visiwa kwenye bahari ya kusini ya china suala ambalo linazua mgogoro na nchi zote ambazo bahari hiyo inapita. yote ni kwa sababu za kiusalama.

Urusi walitaka eneo la Kalinigrad toka kwa Ujerumani ilhali limejitenga kabisa zaidi ya maili 400 toka Urusi (achilia mbali Zanzibar iliyo maili 65 tu toka Dar es salaam) na nchi yao hawakuwa wajinga, walilitaka kimkakati na moja ya mkakati huo ni kupata ‘access’ ya Bahari ya Baltic na kuwa karibu na Ulaya Magharibi.

Ikumbuke ‘Monroe Doctrine’ ya Marekani iliyoweka wazi hawataki taifa lolote kujenga ushawishi katika amerika kusini, kati na visiwa vya Caribbean.

Ukitaka upate picha sahihi usiangalia kwa jicho la sasa tengeneza “worst case scenario”.

Turudi hapa nyumbani
Zanzibar ingekuwa huru na katika hali ya kisiasa ilivyokuwa hatari ingekuwa kwetu sisi waTanganyika.

Uwepo wa Zanzibar maili 65 toka kwenye fukwe za jiji letu kuu la kibiashara na ikulu ya rais wetu (ilivyokuwa) si suala dogo kiusalama.

Pata picha tungekuwa na adui na nchi nyingine, adui angepata urahisi kuitumia Zanzibar kama sehemu ya kuanzisha mashambulizi yake kwetu (umbali ni kitu muhimu sana).

Vilevile wale ambao hawakukubaliana na serikali ingelikuwa ni rahisi wao kufanya Oparesheni zao tokea Zanzibar.

Ni kama tulivyoratibu Oparesheni ya kumtoa nduli Iddi Amini Kwa kushirikiana na Waganda wenyewe wakiwa hapa nchini.
 
Mkuu haya ni madai mazito sana,

Lakini unaweza kuonesha ni kwa namna gani mwalimu alisambaza ukristo?

Walau tupate mifano hai.
 
Mbona Kenya iko salama na Pemba iko karibu.
 

Na hii ndo tabia ubaguzi!! Nyerere alikuwa geneus!! "" ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu, ukishakula huachi"

Mzanzibara na mtanganyika!! Ukishambagua mzanivara utarudi kwenye ukanda!! Na hapa umeonyesha tabia halisi ya ubaguzi haitaishia Zanzibar itaenda mpaka kwa mtu na mtu!! Huyu mweusi huyu mweupe, mfupi na mrefu, tajiri na mskini!!

Ni tabia tu ya mtu na hisia zake kuhisi anabaguliwa na kujfeel inferior!!
 
Mkuu haya ni madai mazito sana,

Lakini unaweza kuonesha ni kwa namna gani mwalimu alisambaza ukristo?

Walau tupate mifano hai.


Sikiliza vitabu vya kanisa katoliki vinasema kitu gani


 
Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
Achana NAO wamechanganyikiwa
 
Zanzibar ingekua base ya waislam na afrika mashariki, Tanganyika ikiwemo,isingekua salama
Akili zenu fupi Sana watanganyika hapa ndio umesema NN? Jee kabla Muungano ilikuwaje ?
Tatizo Lenu watanganyika mna kariri bongo lala hii NI hoja ya kuutetea Muungano kweli??
 
Rasilimali gani hizo za hao unaowaita Watanganyila zilizogawiwa Zanzibar? Hivi unafahamu kwamba >60% ya Watalii wanaokuja Tanzania wanakuja sababu ya Zanzibar na siyo Bara ? Unajua utalii unachangia kiasi pato la Taifa kwa ujumla?
We jamaa acha uongo wako 98% ya watalii wanakuja Tanzania wanakuja kwa ajili ya Serengeti, Ngorongoro & Kilimanjaro na mapato 99% yanatoka maeneo hayo-badaye ndio hupewa hints za Zanzibar.

Yani mzungu aweke saving zake afunge safari kutoka ulaya eti aje Zanzibar-huku kuna maenei mingi yapo kama Zanzibar hapa duniani na ni mazuri kuliko Zanzibar.
 
Kwanza wewe sio Mzanzibar,waliopo Ungaja wate ni masalia ya bars.Wazanzibar halisi ni wapo pemba ambao bibi zao walizaa na waarabu.
 
Kwanza wewe sio Mzanzibar,waliopo Ungaja wate ni masalia ya bars.Wazanzibar halisi ni wapo pemba ambao bibi zao walizaa na waarabu.
Andika ulipendalo kwani hujaathirika chochote na uvamizi wenu kutoka Mkuranga. Mzigo wa mwenzako kwako ni ganda la usufi


anzeni kuliondosha jeshi lenu ambalo limeweka kambi kila mtaa.
 
Idadi ya wazanzibar haifiki 2m. Kila Kijana kwao aliyemaliza Chuo ana Ajira. Wakipata Ajira za huku Bongo wanajipunguza umri Ili Wasistaafu Mapema waendelee kupokea Mshahara. Huu Muungano hauna Haki ni kabisa. Watu 65m wataunganaje na Watu 1.8m na kugawana Haki sawa. Hivi wasomi walioko Nchi hii hawaoni?
 

Huo si muungano ni uvamizi wa Tanganyika kwa Zanzibar chini ya Laanatullahi Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…