Tuwe wakweli, spirit ya Yanga ya kusawazisha na kushinda haipo Simba

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup.

Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana kusawazisha na kushinda.

Simba wanakosa hiyo spirit. Hata wanaposawazisha huishia kwenye sare. Kama kwa Al Ahly. Simba wanakosa mapambano wakiwa uwanjani.

Ni wepesi kukata tamaa au kuogopa. Simba inapaswa kujifunza jambo kwa Yanga. Kucheza ki-father hakutaifikisha kokote.

Simba hawako kama Yanga. Hata wanachama na washabiki wanajua hilo. Wao wamezoea mpira papatupapatu kama rugby tu.
 
Yanga ndio alianza kufunga lakini, Azam aka-level au
 
Simba sisi tuna pira biriani, ila kwa sasa imechacha. Ndio maana hatuna furaha
 
Ngoja waje wakutukane. Mashabiki wa hiyo timu wanapenda kusikia sifa tu. Ukienda tofauti na mtazamo wao, unaporomoshewa mvua ya matusi.
 
ni wapambanaji sana
 
Kweli kabisa.
 
Ni kweli spirit ya upambanaji kwa yanga ni kubwa kulinganisha n Simba. Km ingekuwa ni Simba jana baada ya Azam kushinda 2:1 gemu ilikuwa imeisha
Spirt iyo kule mbogo maji ilikuwa wapi
 
Hata kama huo ndio ukweli. Navyokueleza hapa Mimi ni shabiki wa Simba. Jana Azam anaongoza mbili lakini unaona kabisa yanga atashinda lakini kwa Simba mara nyingi ndio inakuwa imeshalala
Aliongoza kwanza yeye,,,afu nyie wanasimba kweli mbona ka siwasomi??? Mechi na prisons simba alitanguliwa akachomoa akashinda,,mechi na power dynamo alichomoa,,mechi na ahly amechomoa kwa akili yako kutokea nyuma nakutafuta level mbele ya ahly ni jambo dogo???
 
Hakika aliewaita utopwinyo aliwaza mbali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunatimu inafungwa alafu msako wa panya utakaofanyika unaona kabisa atachomoa na atashinda. Ila kwa Simba Hilo halipo n kama bahati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…