johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Kweli kabisa!Serikali yake imeweka mipaka ya kuwaingilia, wapo huru kufanya biashara bila bughudha na wanauhuru wa kufanya chochote watakacho.
Hali hii haikuwepo miaka kadhaa nyuma.
Kwanini wasikubaliane na hoja yako ili maridhiano yawe na tija katika uchaguzi wa 2029-2030.
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Maana ndio ccm pekee walau anaweza push hiyo ajenda ila wengine hawataki kupoteza ulaji wao..Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Hayo ni mawazo Yako!Hapatafanyika uchaguzi wowote 2024/2025 bila kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA kabla haijaitwa KATIBA pendekezwa.
Na hayo uliyoandika ya Katiba mpya 2030 ni mawazo Yako.Hayo ni mawazo Yako!
Na Timu nzima ya MaridhianoNa hayo uliyoandika ya Katiba mpya 2030 ni mawazo Yako.
Mchakato wa KATIBA mpya utakamilika 2026.Na Timu nzima ya Maridhiano
Kama ameshindwa kutupatia viongoz bora hawezi tupatia Katiba bora.Ccm ifanye mchakato wa kupata Rais mwingine vinginevyo chama kitapotea na kuanza kuitwa chama kikuu cha upinzani.Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu wa kutupatia Katiba Mpya.
Tukizubaa na kuipoteza hii fursa anaweza kuja Magufuli mwingine ambaye Katiba mpya siyo kipaumbele chake.
Hata Tundu Lissu akiingia Ikulu anaweza kubadilika na kusema Katiba mpya siyo muhimu kwa wakati wake kwani ameshatoa angalizo kwamba Misimamo ya kisiasa siyo Sheria za Mussa zilizoandikwa kwenye Mawe.
Hivyo kama kweli tunahitaji Katiba Mpya basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Rais Samia Ndiye ameonesha uthubutu ..... basi 2025 mama Samia apite bila kupingwa na fedha itakayookolewa kwa kutofanya Uchaguzi wa Rais ipelekwe kugharamia Mchakato wa Katiba Mpya.
Mungu wa mbinguni mbariki Rais Samia!
Anasema wewe ni BANYAMULENGEKwani Mbowe anasemaje?
Huna akiliKwanini tuingie gharama wakati Mshindi kwa vigezo vyote anajulikana?!
Huna Dhamira
Kutofanyika uchaguzi maana yake CCM iendelee kutawala,jee haya ndiyo matakwa ya Watanzania?Hapatafanyika uchaguzi wowote 2024/2025 bila kupatikana Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA kabla haijaitwa KATIBA pendekezwa.
Ni matakwa ya Watanzania CCCM kuiba uchaguzi?Kutofanyika uchaguzi maana yake CCM iendelee kutawala,jee haya ndiyo matakwa ya Watanzania?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Duh....!Ni matakwa ya Watanzania CCCM kuiba uchaguzi?
Mwenyekiti wa CDMNa Mbowe ni nani?